A message is a discrete unit of communication intended by the source for consumption by some recipient or group of recipients. A message may be delivered by various means, including courier, telegraphy, carrier pigeon and electronic bus.
A message can be the content of a broadcast. An interactive
exchange of messages forms a conversation.One example of a message is a press release, which may vary from a brief report or statement released by a public agency to commercial publicity material.
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya...
Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya.
Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
Unajua app ya message uliyonayo inaweza kufanya jambo zaidi ya unavyofikiria kabisa ? Kuna mambo mengi ya siri unaweza kuyafanya kwenye app yako ya Message ambayo hukutegemea kabisa.
5️⃣ Message schedule
Hivi unajua app ya Google message unaweza kuandika ujumbe na kuchagua ni muda gani mtu...
Nyuma ya mziki wa Singeli au mchiriku tunaitafuta na kuipata meseji kubwa sana ya kisiasa mwaka huu.
Yaani yupo chiriku aliyelishwa maneno na kuanza kuyaongea (kulonga) huku akijitikisa (kuyumbayumba)
Chiriku asihukumiwe bali anayeishi na chiriku atajulikana au ameshajulikana.
Kazi na...
Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain
1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
Iran’s Supreme Leader Khamenei to speak in video message soon
By Reuters
Today, 12:56 pm
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei will speak within the next few minutes in a video message, his first message since Washington announced a ceasefire between Iran and Israel, his account says.
Unamsikia binti anasema
“Mimi siasa sio vitu vyangu”
Kikubwa nakula nashiba nalala naamka!
Au kijana wa maana kabisa anakwambia
“Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda”
Kikubwa uhai tu!!.
Binti au kijana huyo huyo akienda
kupanda mwendokasi akakutana na zile mbilinge mbilinge...
Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika...
. Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti.
. Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya.
. Asubuhi naamka kisha...
Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake...
Kama mjuavyo utundu wa watoto kuchezea simu
Juzi kati kaka shika kiswaswadu changu anacheza game
Na fikiri aliingia pia upande wa kuseti tarehe na mwaka
Akaseti mwa 2099
Massage zilivyo ingia zikaenda kwenye huo mwaka halafu sizioni kabisaa inbox ila juu ya simu inaonyesha kuna massage...
A Vision for Electrifying 300 Million Africans: A Message to President Dr. Samia Suluhu Hassan on Harnessing Energy Resources for Sustainable Development
Your Excellency, President Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of Republic of Tanzania
Congratulations on hosting the Mission 300 Africa...
Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi
Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho...
Dear tatian,
You know that I love you,
Am there for you. Will never disrespect you forever and ever
Your are a good wife and you know how much I love you
Going to your birthday December month wish you to know that your husband for life loves you too much,
Wewe ni mwanamke mkamilifu, a dream...
To all my youngsters.
To those still in school: life changes drastically after you graduate.
Make friends and engage in activities beyond academics. These experiences will help you navigate the real world once your studies are over.
Regardless of what you studied, the post-school hustle is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.