mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wana mambo mengi, katika uchumba hawezi kukuambia yote, wiki moja baada ya ndoa ndio anakuambia "bebi mimi na mtoto"

    Kwa karne hii mdada ambae anaolewa, lets say at 26, aliyoyafanya katika umri wa 14 - 25, ni malaika wake pekee ndio wanajua na kusitika. Vijana wa kiume tuseme anaoa at 30, ailyoyafanya katika umri wa 16-29 ni siri yake mwenyewe. Point yangu kubwa ni kuwa kuna mambo mengi katika ujana wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

    Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha. Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako. So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22. UTANISHUKURU.
  4. JamiiForums Tanzania Nawaombeni mpigie mstari hiyo sentensi isemayo...''kama hakutakuwa na Maelekezo mengi''.... kisha ichambue kwa kutumi Akili Kubwa ili uielewe

    ''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana timu bora sana kama watamuacha mwili apange kikosi chake mwenyewe kwa namna ambavyo anataka yeye...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Tunachoweza kukipuuza, kipuuzeni, tutaepuka mengi

    Nimeona ujumbe wa katibu mkuu wizara ya habari, ndugu Msigwa kumhusu Mange. Naungana naye kulaani vitendo vya uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi. Rai yangu ni kuwa sisi watanzania tuliopo ndani na nje ya nchi yetu, tusisahau kuwa hatuna nchi nyingine...
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanadamu wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mbwa Mwitu!

    Wakati wa vita, Mbwa Mwitu wa kike hukaa karibu chini ya wa kiume, kwa utulivu mkuu na usio na hofu. Anamwamini kabisa na anajua nguvu zake zitawalinda wote wawili. LAKINI...! Mbwa mwitu wa kiume wana sheria moja wanayoiheshimu sana ...! Hawadhuru wanawake kamwe; hivyo mbweha jike yuko salama...
  8. JamiiForums Tanzania Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna matunda mengi sana, ila mimi nalipenda zaidi hili... Je wewe unapenda lipi zaidi?

    Habari Wadau: Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda.. Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote kuna tunda nalipenda zaidi na bahati mbaya sikutanagi nalo mara kwa mara, Tunda lenyewe linaitwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Polepole anafahamu mengi ndani ya CCM tumsikilize kwa makini

    Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole. Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii. Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
  12. JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  13. JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachoendelea anachofanya Trump kwa Putin ni dharau ya wazi wazi, Hebu jionee mwenyewe

    Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌 1. Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilikuwa naambia watu soka la bongo ni mazingaombwe na scheme wakaniambia najifanya mmarekani sana, aya sasa na bado mtaona mengi

    "I prefer not to speak, if i speak am in big trouble" -jose mourinho
  16. JamiiForums Tanzania MAKAMPUNI MENGI MA-HR NI WANAWAKE, KWANINI?

    Hivi hii huwanakusudia nini mara nyingi idara za HR ni wakuu wa idara ni wanawake? Kwanini?
  17. JamiiForums Tanzania Mambo ni mengi lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kuzifungua code

    Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge la movie 🍿 ambalo lingetikisa tasinia ya movie industry katika jamuhuri ya watu wa Giningi...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya machawa kupigwa chini kwenye mchakato, CCM waja na mkakati wa kuwapitisha tena ndiyo maana wakataka majina mengi yaende juu

    Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Nilimwambia Aga Khan njoo anzisha magazeti mengi, ya serikali na IPP hayatoshi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…