Ukisafiri mamtoni unajifunza mengi

Ukisafiri mamtoni unajifunza mengi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,429
Reaction score
5,908
kuna nchi za ulaya ukisafiri kama haujafanya booking ya hotel na hauna kiwango cha pesa cha kutosha wana ku deport back . Hivi kuna nchi ya Afrika wapo strictly hivoo
 
Tanzania ukiingia kuja kwenye kesi ya Lissu wana kudeport....

Bila hvyo we njoo na sura yako unaingia tu.
 
Back
Top Bottom