Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=utlV5n-p9g7L7AZq
Machache niliyoyanasa
Barua ya kugombea kupitia CCM alipewa Askofu Gwajima, bahati mbaya alikuwa kazubaa
Akaja mwanamke akanyakua kwa nguvu ile barua na kusonga mbele
Mungu akamwambia yule mwanamke kuwa hana kibali ya kugombea
Mh.Mbowe...
Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti!
unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya.
Maisha marefu ya raia wa...
Sura huwa inazungumza.
Ukimtazama Bashiru
Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa
Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi.
Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ?
Wabunge wa ccm...
Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k.
Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali,
Mali mnazijua kupitia watu...
Mei 2025
Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani.
Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi.
Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze...
HABARINI ZA UZIMA
WANA UBAYA UMWELA
KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA
LENGO KUU
BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO
TTUIMBEEEE MAGOLI YA BERKANE YAWE MENGI
WAKIRUDI WAFUNGWE KWA MKAPA MAGOLI MENGI YA KUTOSHA
BERKANE AWE BINGWAAA
OMBI MAALUM...
DAUDI ALIKUWA NA MADHAIFU MAKUBWA
Daudi hakuwa mkamilifu. Alifanya makosa mazito kama:
Kuzini na mke wa Uria (Bathsheba)
Kumuua Uria kwa njama ili kuficha kosa lake
(2 Samweli 11:1–27)
Haya yalikuwa makosa ya kimaadili na kisheria mbele za Mungu.
LAKINI DAUDI ALIPENDA KWELI NA HAKUWA...
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽,
Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi?
Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo?
Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.