mende

Mende (Mɛnde yia) is a major language of Sierra Leone, with some speakers in neighboring Liberia. It is spoken by the Mende people and by other ethnic groups as a regional lingua franca in southern Sierra Leone.
Mende is a tonal language belonging to the Mande language family. Early systematic descriptions of Mende were by F. W. Migeod and Kenneth Crosby.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Maisha ya mende (mdudu)

    Maisha ya mende yanahusisha mzunguko wa ukuaji unaopitia hatua tatu kuu: yai, tunutu (nymph), na mende mpevu. Mende ni miongoni mwa wadudu wastahimilivu zaidi duniani, wakiwa na uwezo wa kuishi katika mazingira magumu sana. 1. Mzunguko wa Maisha (Life Cycle) Mende hupitia mchakato wa ukuaji...
  2. H

    KWA BIASHARA YA TIPPER TRUCKS (KUBEBA MCHANGA NA VIFUSI , KATI YA FAW NA HOWO IPI NI GARI BORA KWA MFANYABIASHARA MPYA ANAYETAKA KUANZA HIYO BIASHARA

    Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
  3. Mshana Jr

    Mende msafi

    Sema lolote kuhusu mende huyu.. Sio mende wale mamende😀 CC: mende msafi
  4. Allen Kilewella

    Chuki dhidi ya mende... Nahau inayotufaa watanzania

    Ufuatiliaji wangu mdogo wa masuala ya kisiasa, umenifanya nifahamu kuwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99%) ya machafuko ya kisiasa na kijamii kwenye nchi zote duniani, husababishwa na wanasiasa walioko madarakani. Lakini miongoni mwa nahau ambazo hutumiwa na watawala dhidi ya...
  5. Genius Man

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita. #D9 kitawaka sana gen z wanahasira.
  6. Sifi Leo

    Inakuaje sare za Jeshi zishonwe na raia, akiwawekea sumu SI watakufa kama Mende awa?

    Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo. Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi? Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda? Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
  7. Mama Ametufikia

    Pole pole anachofanya ameamua kumuua mende kwa Nyundo , taratibu sisi Ccm hatuna hatia.!

    Pole pole ameamua kuia Ccm kifo cha Asili , taratibu polepole usifanye hivyo tafadhari.
  8. President of China

    𝗚𝗔𝗭𝗘𝗧𝗜 𝗟𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔: CHADEMA yafa kifo cha Mende!

    Mwenye macho haambiwi tazama
  9. S

    CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

    Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo. No Reform no Election...
  10. Brain Kingdom

    Style ya Kifo Cha Mende ndio Tunu turufu na tofauti kuu ya Binadamu na wanyama wengine kwenye tendo la ndoa

    Inatupasa kutambua tunu kuu ya wanadamu dhidi ya wanyama wengine ambao wameumbwa na mola wetu. Kipekee mola wetu alikuwa vizuri kutuwekw level ya juu kwenye utashi wa kunyandua kwa kutupatia vibe la kifo cha Mende. Niwatakie heri kwenye michakato ya kunyanduana weekend hii yenye upako mzuri...
  11. presider

    Body Ya Scania Mende ya Aluminium

    Mambo vp wakuu. Nnatafuta Body ya aluminium ya Mende( Scania kipisi). Ambayo ipo kwenye hali nzur. Npo Dar esa salaam. 0693296809
  12. A

    Wauzaji Wa Tipper Truck Howo, Faw na Scania Mende wapo wapi?

    Habari wadau naomba zilipo yard za tipper truck howo,faw na scania mende au yard au ofisi zao kwa dar Thanks
  13. fimboyaukwaju

    Kuna watu wanakula mende?

    Je ni kweli kuwa kwa sasa hapa tanzania, watu wanakula mende?
  14. L

    Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  15. GENTAMYCINE

    Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  16. N

    BOX BODY vs SCANIA MENDE

    Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck), Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina, Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba avunja ngome za CHEDEMA Ngara, wapigwa mlalo wa mende

    MBUNGE NDAISABA AVUNJA NGOME ZA CHADEMA NGARA, WAPIGWA MLALO WA MENDE Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro katika ziara yake ya kikazi Jimboni wakati akizungumza na wananchi ameendesha Kampeni na zoezi la kuwapokea na kuwakaribisha mamia ya wanachama wa CHADEMA...
  18. T

    Wizara ya afya Tunaomba mchunguze uwepo wa kunguni na mende wadogo kwenye mabasi ya abiria safari ndefu

    Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria. Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
  19. K

    Nahitaji Faw Mende tipper or Howo Mende tipper za kununua. Nahitaji unit 14 ziwe used

    Nahitaji Howo tipper mende or Faw tipper mende used za kununua naitaji pc 14 . Kama unazo naomba uje inbox
  20. W

    KWELI Mende anaweza kuishi kwa siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa chake

    Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende kuendelea kushi hata baada ya kukatwa kichwa lipoje?
Back
Top Bottom