CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,180
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.

No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu.

Mheshimiwa Mbowe aliweza kula na vipofu na alikula vizuri tu. na Chama kilikuwa na kufikia tishio kwa utawala uliopo madarakano kupitia Uchaguzi mkuu.

Je Lisu ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema ? Unaweza kusema haiwezekani ila pia unaweza kuhisi inawezekana Huyu mtu alitembelewa mara mbili tatu na wakuu mbali mbali wa CCM wakidai kumjulia hali,wengine tukijiuliza inakuwaje ? Na wengine tukiona ni ubinadamu.

Leo hii Chadema wanagawana mbao ,inasemekana hakuna kikao wala kamati au maandazi yaliokutana tokea Lisu aokote ukuu wa Chadema,ukuu ambao aliupata kwa mapambano ndani na kwenye mitandao.

Lisu si mwanasiasa ni mwana sheria ingawa wapo waliona yote hayo na huyapa haki zake sawa. Lisu alitunga sheria kwenye ubongo wake akizipitisha ndani ya kifua chake na kuzitekeleza bila ya kumshauri mwengine ni yeye tu,Jamani Lisu ndie mwenyekiti inabidi mumsikilize na mkubaliane nae ,si ruhusa kukataa au kupinga.

Chadema hadi sasa wapo njia ya panda ,nayaona yale ya CUF na Lipumba ambae alitumika na kufanikiwa kuivuruga CUF ,leo hii hajulikani yeye na chama chake wamefifia kabisa hawasikiki labda ukikaribia msimu wa ruzuku wakatiwe chao na CCM na ndipo inapoelekea CHADEMA chini ya Mwanasheria Tundu.

Naona ni bora Chadema ikakaa chini na kuitisha kikao cha kitaifa emergency ,iwe hivyo na kukinusuru hiki chama hata ikibidi Tundu Lisu afukuzwe au aondolewe ,kuna mambo ni magumu lakini inapobidi ni lazima yafanywe ,sidhani kama Chadema itapotea kama itamtoa kafara Tundu.

Kwa vyama vyote epukeni kubadilisha wakuu wa Chama hasa Wenyeviti ,Mbowe ameifikisha mbali sana Chadema ilikuwa waachiwe mpaka atakapojiuzulu au kufariki ,sio mnabadilisha badilisha kwa kuwa tu mtu mmoja anataka awe yeye, ndio mmeona kavuruga kila kitu.

Mwenyekiti awe kama mzee wa kimila au mkuu fulani hivi mfano wa akina Mkwawa ,iwe hivyo ,nafikiri ACT wamezuia kubadilisha mwenyekiti wao japo kuna kauchaguzi ni tayari wameshajiwekea ile nafasi sio ya kubadilishwa badilishwa ,kama Uraisi wa nchi kila baada ya miaka kumi.

Chama cha siasa ni taasisi inayotakiwa idumu kwa muda mrefu sana sana na vyeo vyake visiwe vya kuchezea chezea ikiwa hakuna tuhuma zenye uhakika wa mia kwa mia. Chadema walikuwa hawana haja ya kubadilisha Mwenyekiti na nikimalizia Mwenyekiti si lazima awe mgombea wa Uraisi wa Tanzania.
 
Hayo ya kwako tu ndugu yangu, hao walijiondoa wenyewe baada ya kuanza kusimama barabarani na kujitangaza kuwa hawakubaliani na maazimio ya kamati kuu ya No reform No election, Hata mke akianza kutangaza ya ndani n kuyapeleka njee huyo inamfaa talaka.

Kwani walijiona wao wana nguvu kuliko Viongozi walioko madarakani, na mzizi wa fitina uko kwa hao Covd 19 walitegemea kurudi chamani kwani hata umaarufu wao umeshuka.

Yote kwa Yote kwani wewe unahama lini?
 
No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu
Ujinga wako umeanzia hapa kwakua hujui kama Mwasisi wa Hii Program ni Mbowe! Tafuta maarifa kwanza
 
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.

No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu.

Mheshimiwa Mbowe aliweza kula na vipofu na alikula vizuri tu. na Chama kilikuwa na kufikia tishio kwa utawala uliopo madarakano kupitia Uchaguzi mkuu.

Je Lisu ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema ? Unaweza kusema haiwezekani ila pia unaweza kuhisi inawezekana Huyu mtu alitembelewa mara mbili tatu na wakuu mbali mbali wa CCM wakidai kumjulia hali,wengine tukijiuliza inakuwaje ? Na wengine tukiona ni ubinadamu.

Leo hii Chadema wanagawana mbao ,inasemekana hakuna kikao wala kamati au maandazi yaliokutana tokea Lisu aokote ukuu wa Chadema,ukuu ambao aliupata kwa mapambano ndani na kwenye mitandao.

Lisu si mwanasiasa ni mwana sheria ingawa wapo waliona yote hayo na huyapa haki zake sawa. Lisu alitunga sheria kwenye ubongo wake akizipitisha ndani ya kifua chake na kuzitekeleza bila ya kumshauri mwengine ni yeye tu,Jamani Lisu ndie mwenyekiti inabidi mumsikilize na mkubaliane nae ,si ruhusa kukataa au kupinga.

Chadema hadi sasa wapo njia ya panda ,nayaona yale ya CUF na Lipumba ambae alitumika na kufanikiwa kuivuruga CUF ,leo hii hajulikani yeye na chama chake wamefifia kabisa hawasikiki labda ukikaribia msimu wa ruzuku wakatiwe chao na CCM na ndipo inapoelekea CHADEMA chini ya Mwanasheria Tundu.

Naona ni bora Chadema ikakaa chini na kuitisha kikao cha kitaifa emergency ,iwe hivyo na kukinusuru hiki chama hata ikibidi Tundu Lisu afukuzwe au aondolewe ,kuna mambo ni magumu lakini inapobidi ni lazima yafanywe ,sidhani kama Chadema itapotea kama itamtoa kafara Tundu.

Kwa vyama vyote epukeni kubadilisha wakuu wa Chama hasa Wenyeviti ,Mbowe ameifikisha mbali sana Chadema ilikuwa waachiwe mpaka atakapojiuzulu au kufariki ,sio mnabadilisha badilisha kwa kuwa tu mtu mmoja anataka awe yeye, ndio mmeona kavuruga kila kitu.

Mwenyekiti awe kama mzee wa kimila au mkuu fulani hivi mfano wa akina Mkwawa ,iwe hivyo ,nafikiri ACT wamezuia kubadilisha mwenyekiti wao japo kuna kauchaguzi ni tayari wameshajiwekea ile nafasi sio ya kubadilishwa badilishwa ,kama Uraisi wa nchi kila baada ya miaka kumi.

Chama cha siasa ni taasisi inayotakiwa idumu kwa muda mrefu sana sana na vyeo vyake visiwe vya kuchezea chezea ikiwa hakuna tuhuma zenye uhakika wa mia kwa mia. Chadema walikuwa hawana haja ya kubadilisha Mwenyekiti na nikimalizia Mwenyekiti si lazima awe mgombea wa Uraisi wa Tanzania.
Utakufa wewe na kuiacha Chadema ikishamiri,tumekataa siasa za hadaa na udalali.
 
Hujui chochote kile....na huna lolote

CDM ipo na itadumu.
 
We bwabwa kweli ukitaka kujua inakufa au inawaua muulize bibi yako ssh aliyekuuza kwa warabu akwambie jinsi moto unavyo muwakia kila Kona. Utakufa wewe chadema ipo milele
Moto umewaka wapi? Munawachanganya Wafuasi wenu!! Kinusuruni chama chenu. Hayo yanayoshauriwa sio ya kuyapuuza moja kwa moja. Tatizo lipo chadema. Kaeni mutafakari kwa mustakbali wa chama chenu.
 
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.

No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu.

Mheshimiwa Mbowe aliweza kula na vipofu na alikula vizuri tu. na Chama kilikuwa na kufikia tishio kwa utawala uliopo madarakano kupitia Uchaguzi mkuu.

Je Lisu ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema ? Unaweza kusema haiwezekani ila pia unaweza kuhisi inawezekana Huyu mtu alitembelewa mara mbili tatu na wakuu mbali mbali wa CCM wakidai kumjulia hali,wengine tukijiuliza inakuwaje ? Na wengine tukiona ni ubinadamu.

Leo hii Chadema wanagawana mbao ,inasemekana hakuna kikao wala kamati au maandazi yaliokutana tokea Lisu aokote ukuu wa Chadema,ukuu ambao aliupata kwa mapambano ndani na kwenye mitandao.

Lisu si mwanasiasa ni mwana sheria ingawa wapo waliona yote hayo na huyapa haki zake sawa. Lisu alitunga sheria kwenye ubongo wake akizipitisha ndani ya kifua chake na kuzitekeleza bila ya kumshauri mwengine ni yeye tu,Jamani Lisu ndie mwenyekiti inabidi mumsikilize na mkubaliane nae ,si ruhusa kukataa au kupinga.

Chadema hadi sasa wapo njia ya panda ,nayaona yale ya CUF na Lipumba ambae alitumika na kufanikiwa kuivuruga CUF ,leo hii hajulikani yeye na chama chake wamefifia kabisa hawasikiki labda ukikaribia msimu wa ruzuku wakatiwe chao na CCM na ndipo inapoelekea CHADEMA chini ya Mwanasheria Tundu.

Naona ni bora Chadema ikakaa chini na kuitisha kikao cha kitaifa emergency ,iwe hivyo na kukinusuru hiki chama hata ikibidi Tundu Lisu afukuzwe au aondolewe ,kuna mambo ni magumu lakini inapobidi ni lazima yafanywe ,sidhani kama Chadema itapotea kama itamtoa kafara Tundu.

Kwa vyama vyote epukeni kubadilisha wakuu wa Chama hasa Wenyeviti ,Mbowe ameifikisha mbali sana Chadema ilikuwa waachiwe mpaka atakapojiuzulu au kufariki ,sio mnabadilisha badilisha kwa kuwa tu mtu mmoja anataka awe yeye, ndio mmeona kavuruga kila kitu.

Mwenyekiti awe kama mzee wa kimila au mkuu fulani hivi mfano wa akina Mkwawa ,iwe hivyo ,nafikiri ACT wamezuia kubadilisha mwenyekiti wao japo kuna kauchaguzi ni tayari wameshajiwekea ile nafasi sio ya kubadilishwa badilishwa ,kama Uraisi wa nchi kila baada ya miaka kumi.

Chama cha siasa ni taasisi inayotakiwa idumu kwa muda mrefu sana sana na vyeo vyake visiwe vya kuchezea chezea ikiwa hakuna tuhuma zenye uhakika wa mia kwa mia. Chadema walikuwa hawana haja ya kubadilisha Mwenyekiti na nikimalizia Mwenyekiti si lazima awe mgombea wa Uraisi wa Tanzania.
Kaka wenzio kile kikundi cha watu 100 ni ma filthy rich..utajiri wao ni vizazi hdi vizazi..Ss we mpiga tantalila mtandaoni ku praise je umewaandaliaje wanao maisha yao ya baadae?
Ndio hapo NRNE inapo play part ni kwaa jili ya wanao nyau ww..
Kukiwa na reforms kunapatikana viongozi wanaotakiwa na wananchi hence accountability ya uongozi inakueko na nchi haiwi tena shamba labibi kama hvi ss under CCM..

Ila sbb ww huna akili hujielewi huwezi kung'amua haya mambo umeridhika na kikazi chako kinakupa shs mbili basi unaona maisha umeyapatia unakuja kubweka upuuzi mtandaoni..
Wenye nchi unawajua ww?
Lafa kabisa
 
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.

No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu.

Mheshimiwa Mbowe aliweza kula na vipofu na alikula vizuri tu. na Chama kilikuwa na kufikia tishio kwa utawala uliopo madarakano kupitia Uchaguzi mkuu.

Je Lisu ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema ? Unaweza kusema haiwezekani ila pia unaweza kuhisi inawezekana Huyu mtu alitembelewa mara mbili tatu na wakuu mbali mbali wa CCM wakidai kumjulia hali,wengine tukijiuliza inakuwaje ? Na wengine tukiona ni ubinadamu.

Leo hii Chadema wanagawana mbao ,inasemekana hakuna kikao wala kamati au maandazi yaliokutana tokea Lisu aokote ukuu wa Chadema,ukuu ambao aliupata kwa mapambano ndani na kwenye mitandao.

Lisu si mwanasiasa ni mwana sheria ingawa wapo waliona yote hayo na huyapa haki zake sawa. Lisu alitunga sheria kwenye ubongo wake akizipitisha ndani ya kifua chake na kuzitekeleza bila ya kumshauri mwengine ni yeye tu,Jamani Lisu ndie mwenyekiti inabidi mumsikilize na mkubaliane nae ,si ruhusa kukataa au kupinga.

Chadema hadi sasa wapo njia ya panda ,nayaona yale ya CUF na Lipumba ambae alitumika na kufanikiwa kuivuruga CUF ,leo hii hajulikani yeye na chama chake wamefifia kabisa hawasikiki labda ukikaribia msimu wa ruzuku wakatiwe chao na CCM na ndipo inapoelekea CHADEMA chini ya Mwanasheria Tundu.

Naona ni bora Chadema ikakaa chini na kuitisha kikao cha kitaifa emergency ,iwe hivyo na kukinusuru hiki chama hata ikibidi Tundu Lisu afukuzwe au aondolewe ,kuna mambo ni magumu lakini inapobidi ni lazima yafanywe ,sidhani kama Chadema itapotea kama itamtoa kafara Tundu.

Kwa vyama vyote epukeni kubadilisha wakuu wa Chama hasa Wenyeviti ,Mbowe ameifikisha mbali sana Chadema ilikuwa waachiwe mpaka atakapojiuzulu au kufariki ,sio mnabadilisha badilisha kwa kuwa tu mtu mmoja anataka awe yeye, ndio mmeona kavuruga kila kitu.

Mwenyekiti awe kama mzee wa kimila au mkuu fulani hivi mfano wa akina Mkwawa ,iwe hivyo ,nafikiri ACT wamezuia kubadilisha mwenyekiti wao japo kuna kauchaguzi ni tayari wameshajiwekea ile nafasi sio ya kubadilishwa badilishwa ,kama Uraisi wa nchi kila baada ya miaka kumi.

Chama cha siasa ni taasisi inayotakiwa idumu kwa muda mrefu sana sana na vyeo vyake visiwe vya kuchezea chezea ikiwa hakuna tuhuma zenye uhakika wa mia kwa mia. Chadema walikuwa hawana haja ya kubadilisha Mwenyekiti na nikimalizia Mwenyekiti si lazima awe mgombea wa Uraisi wa Tanzania.
Africa hakuna vyama, kwa sababu vinaminywa, vinateswa na kufanyiwa hila na sio vinginevyo. Huwezi kupigana ukiwa umefungwa mikono. Au mtu anakunyima chakula makusudi halafu anakusimanga kwamba amezira mwenyewe. Ni ukichaa na wehu wa madaraka.
 
Wanaume wanasifika kwa misimamo ya kweli,Hivi watu ambao wake/hawara zao ni COVID-19 utasema nao mpo jahazi moja😄😄
Wananchi/wanachama tulikua tunashangaa sana bwana mbowe anakaaje na hawa matapeli kina salum mwalim/kigaila.

Kwa sasa CDM ipo imara sana,ni wahuni TU ndo wanaondoka
 
Sijawahi ona chama kinachokufa polisi wanazuia wafuasi wake 24/7 kuanzia majumbani ,barabarani wasiende kusikiliza kesi huku wameshika maji ya kunywa na simu.

Sijwahi ona chama kilichokufa polisi wanawakamata viongozi wa juu na kuwatungia makosa ya kubumba.

Sijawahi ona chama kinachokufa polisi wanahangaika hadi kuvamia wanachama wake majumbani

Sijawahi ona chama kinachokufa serikali inatumia polisi kuzuia mikutano ya nje na ndani ya wanachama.

Kama ukibisha nakuuliza lini mara ya mwisho mwenyekiti wa CUF ,TLP amekamatwa na policcm?

Lini mara ya mwisho umeona mwenyekiti wa CUF & TLP ameitisha mkutano wa hadhara wa wanachama.?

Think twice.
 
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.

No Reform no Election aliilenga kwa wenzake chama kibadilike kimsikilize mtu mmoja tu kama hilo haliwezekani hagombei mtu.

Mheshimiwa Mbowe aliweza kula na vipofu na alikula vizuri tu. na Chama kilikuwa na kufikia tishio kwa utawala uliopo madarakano kupitia Uchaguzi mkuu.

Je Lisu ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema ? Unaweza kusema haiwezekani ila pia unaweza kuhisi inawezekana Huyu mtu alitembelewa mara mbili tatu na wakuu mbali mbali wa CCM wakidai kumjulia hali,wengine tukijiuliza inakuwaje ? Na wengine tukiona ni ubinadamu.

Leo hii Chadema wanagawana mbao ,inasemekana hakuna kikao wala kamati au maandazi yaliokutana tokea Lisu aokote ukuu wa Chadema,ukuu ambao aliupata kwa mapambano ndani na kwenye mitandao.

Lisu si mwanasiasa ni mwana sheria ingawa wapo waliona yote hayo na huyapa haki zake sawa. Lisu alitunga sheria kwenye ubongo wake akizipitisha ndani ya kifua chake na kuzitekeleza bila ya kumshauri mwengine ni yeye tu,Jamani Lisu ndie mwenyekiti inabidi mumsikilize na mkubaliane nae ,si ruhusa kukataa au kupinga.

Chadema hadi sasa wapo njia ya panda ,nayaona yale ya CUF na Lipumba ambae alitumika na kufanikiwa kuivuruga CUF ,leo hii hajulikani yeye na chama chake wamefifia kabisa hawasikiki labda ukikaribia msimu wa ruzuku wakatiwe chao na CCM na ndipo inapoelekea CHADEMA chini ya Mwanasheria Tundu.

Naona ni bora Chadema ikakaa chini na kuitisha kikao cha kitaifa emergency ,iwe hivyo na kukinusuru hiki chama hata ikibidi Tundu Lisu afukuzwe au aondolewe ,kuna mambo ni magumu lakini inapobidi ni lazima yafanywe ,sidhani kama Chadema itapotea kama itamtoa kafara Tundu.

Kwa vyama vyote epukeni kubadilisha wakuu wa Chama hasa Wenyeviti ,Mbowe ameifikisha mbali sana Chadema ilikuwa waachiwe mpaka atakapojiuzulu au kufariki ,sio mnabadilisha badilisha kwa kuwa tu mtu mmoja anataka awe yeye, ndio mmeona kavuruga kila kitu.

Mwenyekiti awe kama mzee wa kimila au mkuu fulani hivi mfano wa akina Mkwawa ,iwe hivyo ,nafikiri ACT wamezuia kubadilisha mwenyekiti wao japo kuna kauchaguzi ni tayari wameshajiwekea ile nafasi sio ya kubadilishwa badilishwa ,kama Uraisi wa nchi kila baada ya miaka kumi.

Chama cha siasa ni taasisi inayotakiwa idumu kwa muda mrefu sana sana na vyeo vyake visiwe vya kuchezea chezea ikiwa hakuna tuhuma zenye uhakika wa mia kwa mia. Chadema walikuwa hawana haja ya kubadilisha Mwenyekiti na nikimalizia Mwenyekiti si lazima awe mgombea wa Uraisi wa Tanzania.
siyo rahisi kama unavyofikiria, bado sana
 
Sasa kama chadema inakufa kwann hamtaki uchaguzi ulio huru na wa haki kweli dhidi yao?!
Mnaungwa mkono na mamilioni ya watz, ajabu hamtaki uchaguzi wa haki!
 
Jee haya mtayaacha?.
downloadfile.png
20250406_073211.jpg
20250324_102827.jpg
Screenshot_20250405_004444_X.jpg
 
Chadema haiwezi uliwa na hao wajinga ,kulikua na mda mzuri wa hao wajinga kuondoka chadema ambao labda ungeleta kamtikisiko kidogo, ila sasa unaondoka wakati umeisha jivua nguo mbele umma wa TZ , hawa hawauziki tena ,siasa kwao kwa heri ,watz sio wajinga Bwana
 
Usamahewe kwa kwenda shule kunywa uji na kulamba kamasi
 
Wajinga mpo wengi na mnazaliwa kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom