membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Kwanini Membe hakujitoa ikiwa hakupiga kampeni?

    Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu. Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi ya kura kunaweza kuwa na faida kubwa kwa CHADEMA na Lissu siku ya upigaji kura. Wote tunajua vita...
  2. GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  3. GE2020 Hivi Membe anafanyia kampeni zake wapi?

    Wakuu. Hivi huyu mgombea wa ACT wazalendo ndugu Benard Membe, kampeni zake anafanyia wapi, maana simsikii kabisa?
  4. GE2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

    Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
  5. U

    Bernard Membe amjulia hali Zitto atakayefanyiwa upasuaji kesho baada ya kupata ajali

    It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!
  6. GE2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

    Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
  7. D

    GE2020 Mgombea ubunge wa Kigamboni kupitia ACT Wazalendo anapitia mazingira magumu mno kisiasa. Membe kawaangusha sana watu wake

    Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia angewainua vilivyo. Membe hata alipokuwa Pemba na Unguja pamoja na Maalim alishindwa kabisa kutumia jukwaa...
  8. B

    Hongera Membe, ACT - wengine Salamu kwenu

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili. Bwana Membe hongera: Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu. Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe...
  9. GE2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
  10. GE2020 ACT-Wazalendo na imani haba kwa mgombea wao Bernard Membe

    Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao. Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
  11. GE2020 Membe, soma alama za nyakati

    Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya. Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi. Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
  12. GE2020 ACT-Wazalendo wanaweza kumfukuza uanachama Membe kwa wakati huu?

    Maneno yanayoendelea mtandaoni ni mengi ila inaonyesha Membe kakaza hawezi kuruhusu kuacha kujaribu kutetea ndoto yake ya kuwa rais. Awali Membe alijiamini kuwa na watu wengi nyuma yake ambao angehama nao, lakini akajikuta ameondoka mwenyewe, wale wachache kutoka CUF na CCM waliojiunga na ACT...
  13. GE2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

    Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
  14. GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  15. D

    Mgombea Bernard Kamilius Membe wa ACT - Wazalendo amekwama?

    Vipi mgombea huyu hasikiki kwa muda sasa toka amerejea kwenye "matibabu" Dubai? Kama mitikasi imevurugika ACT Wazalendo, kwanini isiungane na Lissu kuongeza nguvu kama CHADEMA walivyoamua kumuunga Maalim Seif Zanzibar?
  16. GE2020 Mzee Membe uko pande zipi? Nini shida sikusomi kabisa.Umemsikia Bashiry Ally? Tupe ukweli

    Mzee wangu Membe ulisafiri kwenda Dubai falme za Kiarabu kwenye vikao vyako vya kila mwaka,jamii ya kitanzania ilikusubiri kwa hamu ili kuanza kampeini katika maeneo mbalimbali nchini.Umerudi salama mungu ni mwema hujaonekana kabisa kwenye kampeini zako. Kibaya zaidi katibu wako alikamatwa pale...
  17. C

    GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  18. Q

    Bernard Membe: ACT - Wazalendo na CHADEMA tunaongea ili tusimamishe mgombea mmoja

    Ndugu zangu najua mtakuwa mnanishanga . kila kukicha ukweli ni kwamba bado ACTwazalendo wanaongea na CHADEMA tuweze kuwa kitu kimoja, lakini hadi sasa mambo ni mazuri na kama mnavyo ona hi graph ndivyo mdogo wangu @TunduALissu atakavyo shinda kama wa Tanzania, tukiamua. - Bernard Membe
  19. GE2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

    Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo. The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza fulani hivi hataki asikike. Anaibua mashaka mengi sana! Nashauri watu wake wa karibu wamjulishe kuwa ni...
  20. Q

    Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

    BREAKING NEWS : Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema msaidizi wa @BenMembe Jerome Luanda yuko mikononi mwa polisi na ni mzima wa afya hivyo wanaodai ametekwa ni waongo. ==== KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…