Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo?
Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya?
========
Isaya 23:15-18
[15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme mmoja; hata mwisho wa miaka sabini, Tiro utakuwa kama vile ulivyo wimbo wa kahaba.
And it shall...