mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

    Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo. Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua...
  2. JamiiForums Mrithi wa Lewis Hamilton, Kimi Antonelli, anawapelekea moto wakongwe kwenye F1 Championship. Dogo atafika mbali!

    Baada ya Lewis Hamilton kuhama Mercedes Benz na kwenda Ferrari wengi tulitegemea maajabu mengi ila hamna kitu. Ata podiums tu huu msimu za kuhesabika. Move ya MB kumtoa Kimi Antonelli kutoka Mercedes Benz Junior Racing kuja F1 kumreplace Hamilton wengi walijua wamebugi. Ila dogo ni wa moto...
  3. JamiiForums PostGE2025 Samia alikuwa na uwezo wa kujenga kukubalika baada tu ya kuwa rais na angeweza kuwashinda upinzani lakini uwezo mdogo umempeleka pabaya

    Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika. Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia...
  4. JamiiForums PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  5. JamiiForums Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  6. D

    JamiiForums “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”: Hivi kuna Amiri Jeshi Mdogo??

    Samia Suluhu Hasani amesikika mara nyingi akijitambulisha kuwa yeye ndiye “Amiri Jeshi Mkuu” wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama; mimi swali langu, je kuna Amiri Jeshi “mdogo”??? Bi Mkubwa anaielewa vyema hiyo hadhi anayojitanabaisha nayo kila wakati? Au mahali hapa ndipo tatizo la elimu mbalimbali...
  7. M

    JamiiForums Bro, ondoka hapo kijijini usibweteke, Wakati mwingine sio wewe, ni mji huo mdogo unaokuzuia kufika mbali

    Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji. Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone), hata hivyo unaweza kukubana kwa ndoto zako zikose pumzi huku ukioza taratibu. Katika maisha, mara...
  8. JamiiForums Mtoto mdogo miezi 8 ana shida ya vinyama puani na kooni

    Wakuu, dogo wangu anachangamoto ya vinyama puani na kooni hali inayopelekea kupumua kwa Shida sana.. Ipi ni tiba sahihi ya hii Shida..? 🙏
  9. JamiiForums Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
  10. JamiiForums Kwa nini uelewa wa haki ni mdogo sana kwa viongozi wengi wa CCM?

  11. JamiiForums Adui Mdogo Lakini Hatari: Utitiri wa Kuku (Poultry Mites)

    Hawa wadudu wadogo sana wansumbua na kuwananyonya damu ya kuku wako . Wanaficha kwenye nyufa za mbao na sehemu zisizo na mwanga , ila usiku ndio wanashambulia. Wanaongezeka haraka zaidi kwenye mazingira yenye joto na unyevunyevu, na huenea kupitia nyumba uchafu wa mda mrefu wa kutosafisha banda...
  12. JamiiForums Unaweza sema mwamba anasikitikia kazi ilivyo ngumu lakini anawaza ni style gani atayomkunja bebi akishapata posho jioni

    🤣
  13. JamiiForums Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  14. JamiiForums Mdogo wa Rafiki yangu ameingiziwa kitu kwenye account ili aende Mkutanoni Kawe

    Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana. Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
  15. M

    JamiiForums Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  16. JamiiForums Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  17. JamiiForums Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  18. JamiiForums Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea

    Wanaukumbi. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea. Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli. https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  19. JamiiForums Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    Tony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na...
  20. JamiiForums Mdogo wangu Ibrahim Ajib Migomba nani alikuroga ili tunaokujua kwa Kipaji chako Kikubwa Tanzania tujichange tukakuague?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…