Mamlaka ya Mji Mdogo wa Maswa mkoa wa Simiyu imeitaka halmashauri ya wilaya hiyo kuiruhusu kukusanya mapato yake moja kwa moja kwa kupewa vyanzo rasmi vya mapato, ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya mji huo.
Mwenyekiti wa mamlaka hiyo,Caroline Shayo amesema...
REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa?
Mshahara mdogo?
Matumizi mabaya ya fedha?
Au kuto kuwekeza?
Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati.
Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni...
Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa.
Sasa fikiria, mtumish...
Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi.
Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake.
Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume
Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step.
Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL.
Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game.
Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?.
Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo.
Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
Wakuu,
Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7
Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana
Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua.
Yaani kitu kile kile cha protein ila...
Jamaa alianzia mbali sana aisee
Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko
Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅
Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu
Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp
Bill Gates - Windows, Xbox, n.k.
Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k.
Steve Jobs (RIP) - iPHONE
Sam Altman - Chat GPT
n.k.
Ni nini kinachochangia hali hii?
Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia?
Je, kuna uhusiano nakazi...
Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..?
Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema...
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi?
Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.