mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeremy Monga aweka rekodi ya mchezaji mdogo wa pili kucheza EPL akiwa na miaka 15 tu

    Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL. Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game. Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
  2. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?. Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo. Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
  3. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nadhani watu wanaopenda kula kula sana Huwa wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiria

    Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua. Yaani kitu kile kile cha protein ila...
  5. excel

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi...

    Jamaa alianzia mbali sana aisee Whatever anafanya kutafuta hela nampa Heko Hapa nadhani ni miaka 50 iliyopita na alikua anaitwa Atulokole Mwajilala😅😅😅 Kwa sasa kamanda kajipata karudi ujanani na anaitwa Chief GodLove😂😂
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  10. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya kupunguza miaka ili uonekane mdogo inasaidia nini?

    Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..? Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?

    Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi? Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo analoga hataree tumsaidieje na sasa yanamrudia

    HABARINI wapendwa Tuna mzee wetu aliamua kuwa msimamizi WA MIRATHI ya kaka yake Sasa KIKAO wakamua WAGAWANE mali zote sawa... Kilichofwata mzee akaandika yule WA Nje amepewa mali zaidi ya wenzie Kukawa na mfarakanoo TUKAENDA kwenye mavikao Mwisho wajukuu tukajipanga JAMAN huyu WA kumwondoa...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Anza biashara ya printing, scanning na photocopying kwa mtaji mdogo tu.

    Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara. Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee. 0712302556, 0684240927
  14. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Nini sababu.ya.wakala mdogo kugawana pesa na wakala mkuu kwenye mobile money business

    Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu. Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye mobile.money.business
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Pale kaka yake alipo dhamiria kumuua mdogo wake kisa mdogo wake kaondoa Ng'ombe zake kwa kaka yake

    Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea" Hii ni familia kubwa ya kisukuma ambayo baba yao mzazi alifariki miaka zaidi ya 30 iliyopita.Hivyo kwa utamaduni wa...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Anko mafix adai ni mdogo wake na Gwajima

    Huyu comedian ana wazazi kweli,cimedy zake ni matusi na stori za kuzagamuana tu. Kubwa kuliko amedai ana undugu na gwajima
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
  18. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Huu ni mmea mdogo lakini wenye mambo makubwa

    Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI 1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti: Kanda ya Ziwa unaitwa Lumbalumba, Nyanda za Juu Kusini wanauita Mnunganunga, Kilimanjaro wanauita Mnyenye, Tanga ni Luvumbampuku...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Dube mnataka afunge magoli mangapi ili aonekane ni bora? Goli 8, assist 7 siyo mchango mdogo kwenye timu!

    Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia. Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube! Kama yupo nitajieni,,magoli 8 na asisti 7 ni jumla ya mchango wa goli 15 kwenye timu,,sio jambo jepesi...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
Back
Top Bottom