mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

    wakuu katika harakati za kuomba course mbalimbali za kusoma chuo, mdogo wangu alichangua course zimefuatazo UDOM ( nimeziambatanisha kwenye picha) Lakini mbaka first selection zimetoka kwenye profile yake ambayo alitumia kuombea course hamna notification yoyote inayoonesha labda kakosa na...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

    Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kujiona mtoto mdogo kumewafelisha wengi

    KUJIONA MTOTO MDOGO KUMEWAFELISHA WENGI! Anaandika, Robert Heriel. Yule Shahidi. Aliyekuambia miaka 20 ni mtoto ni Nani? Wakati kuna wenzako wamekuwa Wafalme, Marais, Mawaziri, na wapo wenye Wake na Watoto katika umri huohuo! Kuna kundi kubwa la watu lime-Relax kabisa Kwa kisingizio kuwa bado...
  4. emmarki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mtoto mdogo kuona tupu za mzazi/wazazi wake?

    Kwa mazingira yeyote je, ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake? Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo? Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
  5. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Rais uendapo Tanga jaribu pia kufatilia shida ya maji Handeni hasa mji mdogo wa Kabuku

    Katika Wilaya ya HANDENI tatizo kubwa ni shida ya maji, niliwahi kununua shamba Kijiji cha KABUKU, Nimepitia sehemu nyingi za maeneo hayo, kwakweli watu wanaishi kama wanyama, huwa najiuliza mbunge wa pale hii kero haitambui? Sijawahi kusikia akiizungumzia bungeni, kule Kila mtu anaejenga...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  7. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatafuna mfupa mdogo mdogo

    Serikali ya Tanzania inakusudia kuongeza kasi na kiwango cha uzalishaji wa mbegu za mafuta ya kula ili kuviwezesha viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa hiyo itakayosaidia kuokoa fedha zinazotumika kuagiza mafuta nje ya nchi. Kutokana na Upungufu wa uzalishaji wa mafuta nchini kwa mujibu wa Waziri...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wazambia wanashangaza na utamaduni wao wa nidhamu ya mdogo kumpigia magoti mkubwa.

    Miaka kadhaa iliyopita kuna picha ili-trend sana mitandaoni ya Waziri mstaafu wa kilimo wa Zambia kuonekana amempigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu (nimeipost). Watu wengi sana walitoa maoni yao na wengine kufikia hatua ya kumlaani Rais Lungu kuwa ni dikteta anayedhalilisha watu wake. DC wa...
  10. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  11. Binti Mzalendo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkulima mdogo na Walanguzi

    Aliesema kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hakukosea,lakini ni uti wa mgongo kwa wajanja wenye pesa na SI mtu wa Hali ya chini. Kilimo ni sayansi ya uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.Mkulima anapoandaa shamba,anapanda,anapalilia mategemeo yake ni kuvuna mazao Bora na hata ainuke...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  13. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii

    Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha. Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufahamu wa nini cha kusoma bado ni mdogo kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo nchini

    Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..? Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

    Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/= Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi mila zilizopitwa na wakati zinavyochangia tatizo la ndoa katika umri mdogo na ukeketaji katika mkoa wa Mara

    Picha kwa hisani ya Haki Elimu 1. UTANGULIZI Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo aliepotea Mbeya tangu 2020 anaedhaniwa aliibwa imebainika yupo Songwe kupitia group la Facebook, wazazi wapo kwenye harakati kumrudisha

    Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya. Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda. Leo hii...
  18. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

    Wakuu, Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi. Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize shughuli tuzungumze. Sasa ananiambia kuwa ananipenda mno. Na anataka nimpe jibu kama nimemkubali au la...
  19. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Karia hana uwezo wa kuendesha soka, aondoke tu

    Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka Jamaa amekaa kihasira. Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
Back
Top Bottom