mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 Almaarufu kama Gen Z uwezo wenu wa Akili ni mdogo kuliko vizazi vingine

    Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia. Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial. This major...
  2. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  3. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  4. JamiiForums Tanzania "Muache Avae Atakavyo Bado Mdogo" – Je, Sentensi Hii Inawajenga au Inawaangamiza Watoto?

    Kumwambia mtoto "muache avae atakavyo bado mdogo" kunaweza kuonekana kama jambo la kawaida, lakini kwa hakika ni kauli inayoweza kufungua mlango wa kumlea mtoto bila mipaka ya maadili. Mtoto ni kama mti mchanga; ukimnyoosha akiwa mdogo, hukua akiwa sawa. Lakini ukisema "bado mdogo" katika kila...
  5. JamiiForums Tanzania Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pole Sana Dotto Magari: Nikupe Moyo haya majaribu unayopitia utayavuka salama Mdogo wangu

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DIT: Usalama wa wanafunzi wanaovuka barabara kwenda madarasa ya nnje ya chuo ni mdogo

    Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Asante Fadlu, mdogo zako zimetimia

    Hatimae Simba tumemaliza ukame wa Makombe! Haikuwa kazi rahisi, lakini kazi hii ilirahisishwa na kocha Fadlu. Yeye aliona Hana uwezo wa kuleta Makombe na Simba tulimwamini kuwa uwezo anao, akaona isije kuwa shida mbeleni. Akaamua kulala mbele! Angekuwepo Hadi Leo tungekuwa bado tunajenga timu...
  11. JamiiForums Tanzania UTAFITI MDOGO: ASILIMIA KUBWA YA WANA JF NI INTROVERT

    Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake. Ndiyo maana kuna watu kwenye real life wanashindwa kujielezea vema ila hapa ni uhuru wa manyani...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mdogo wangu sio mzito

    Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, ulimwengu ulishuhudia maafa makubwa baada ya mji wa Nagasaki nchini Japan kushambuliwa kwa bomu la pili la atomiki na jeshi la Marekani. Shambulio hili lilileta maafa ya papo hapo, likiteketeza maelfu ya maisha, kubomoa majengo, na kuacha mji mzima ukiwa katika...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Jafari Saidi amekamatwa na watu wanne waliojitambusha kama Polisi Kihonda, Morogoro lakini Polisi wamekana na hatujampata hadi sasa

    Anaandika Malisa Godlisten kwenye akunti yake ya ukurasa wa Instagram "Naitwa @nisebrian naomba unisaidie kupaza sauti kuhusu mdogo wangu Jafari Saidi Kahise. Tarehe 5 June 2026 watu wanne waliojitambulisha kuwa Polisi walifika eneo la Kihonda Madukani, Morogoro, kwenye kijiwe ambacho Jafari...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndiyo Chama chenye mchango mdogo sana kwa Taifa

    CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI === Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika maendeleo ya taifa, iwe kupitia sera, ushawishi wa kisera, ushiriki katika taasisi za kidemokrasia au...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

    Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyeki wa mamlaka ya mji mdogo wa Maswa asababisha mji wa Maswa kuwa mchafu

    Mwenyekiti wa Mamlaka ya mji mdogo Maswa mkoani Simiyu,Carolina Shayo amezuia mzabuni ya uondoshaji wa taka katika mji wa Maswa kutoendelea na kazi na hivyo kusababisha mji kuwa mchafu kila kona. Ametumia vibaya madaraka yake kuzuia shughuli halali za serikali kufanyika baada ya mzabuni huyo...
  17. JamiiForums Tanzania Mdogo wetu kaacha ualimu kisa amepata mshangazi

    Dada habari, sisi kwenye familia yetu tume pata changamoto kubwa sana kiasi kwamba mama naona kabisa tuna enda kumpoteza Kwa Presha. Iko hivi, tuna mdogo wetu wa kiume ana miaka 25, aliajiriwa mwaka juzi Ualimu wa Sekondari, na alikuwa akilipwa mshahara mzuri tu bila shida yoyote. Kitu Cha...
  18. JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo? Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake. Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad? Kwa Ufupi Mohamad ni...
  19. JamiiForums Tanzania JE, UNAHITAJI UJUZI WA KOMPYUTA LAKINI MUDA WA KWENDA CHUONI NI MDOGO?

    Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi. Changamoto kubwa kwa wengi ni kukosa muda wa kuhudhuria mafunzo ya kawaida kutokana na majukumu ya kazi na ratiba za kila siku. Kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…