Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

sijawahi kuelewa, hivi unawezaje kumpiga mtoto wako damu yako, i mean yeye ni wewe, unaanzaje hata kumpiga? anaweza kukuosea nini haswa? ...
We mjinga kweli, yaani mwanao wa kumzaa usimpige anapokosea pakubwa? Au hujui malezi ya watoto wa kiafrika? Unamtuma ana kataa, au anakujibu jeuri utafanya nini zaidi ya kumwadhibu?
 
sijawahi kuelewa, hivi unawezaje kumpiga mtoto wako damu yako, i mean, yeye ni wewe, unaanzaje hata kumpiga? anaweza kukuosea nini labda? upendo uko wapi? mtoto yuko sawa ana haki ya kujilinda, huyo "baba" kaamua kumpiga kwa sababu kamzidi nguvu na hiyo ndiyo sababu pekee ya mtu x kuamua kumpiga mtu y.

binafsi naamini kama kweli unampenda mtu hauwezi "kumpiga" ...
Usikute sio damu yako
 
Hahahaha dah umetisha mkuu
Tunaambiwa mbegu bora ndio zinawahi kufika kwenye yai na kuunda mtoto, cjui Kwann hawa Wapumbavu ndo wanakuwa na ubora hadi kufikia yai 😂
Imagine kulikuwa na wapambanaji wenye kumletea mzee faida, walishindwa kufika kwenye yai kisa huyu mwendawazimu mmoja

Ah bora kuwaua wote tuu, cha msingi n bao na sio mtoto.
 
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom