Asante Fadlu, mdogo zako zimetimia

Asante Fadlu, mdogo zako zimetimia

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
310
Reaction score
459
Hatimae Simba tumemaliza ukame wa Makombe!
Haikuwa kazi rahisi, lakini kazi hii ilirahisishwa na kocha Fadlu.
Yeye aliona Hana uwezo wa kuleta Makombe na Simba tulimwamini kuwa uwezo anao, akaona isije kuwa shida mbeleni. Akaamua kulala mbele!
Angekuwepo Hadi Leo tungekuwa bado tunajenga timu!
Asante Fadlu Kwa kuliona Hilo mapema!
 
Ila uongozi wa hii timu Bado una mapungufu
 
Hatimae Simba tumemaliza ukame wa Makombe!
Haikuwa kazi rahisi, lakini kazi hii ilirahisishwa na kocha Fadlu.
Yeye aliona Hana uwezo wa kuleta Makombe na Simba tulimwamini kuwa uwezo anao, akaona isije kuwa shida mbeleni. Akaamua kulala mbele!
Angekuwepo Hadi Leo tungekuwa bado tunajenga timu!
Asante Fadlu Kwa kuliona Hilo mapema!
Fadlu hana mchango wowote, alipewa nafasi ya kufanya usajili halafu akalala mbele.
Usajili wa dirisha dogo ndio ulileta mabadiliko.
 
Fadlu ni mkora tu, hata apewe Madrid au Barcelona au man city au Liverpool au PSG au Bayern iliyoko on fire 🔥 hashindi ligi yoyote popote pale duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom