Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira.
Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...