Jamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi.
Akikupigia mkapigana usiku, unamuota kashika fimbo meaning anakuuliza, utanisamehe au hii fimbo inakuishia yote? Nasema nimekusamehe...