mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania HAWA WAISRAELI, SI MCHEZO ETI???

    The Iranian regime spent decades building bunkers, encrypting communications, and purging spies. But even the most paranoid dictatorship on Earth didn’t anticipate the oldest trick in the book: preventive healthcare. Enter Mossad. For years, Mossad’s top tech division worked on micro-GPS...
  2. mrangi

    JamiiForums Tanzania Hii ajali si mchezo

    Hii sijuwi ilitokea wapi? Naona vyuma vimeumana Ova Mshana Jr
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

    Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili: Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  5. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Mchezo namba 184 wa 25 june 2025 huwezi kuwa mchezo wa kumpa Simba wala Yanga ubingwa

    Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,. Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga. Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mliandika barua hamtashiriki mchezo wowote tofauti na june 15 haya tuone kama june 25 hamtaleta timu.Msimamo upo Yanga pekee

  7. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Tff /Simba sc limechukua sura ya kisiasa

    Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march. Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

    Assume drafti lilikuwa na kete sita,6+4=10, lakini kete mbili zimepigwa tena,kwanini drafti gumu hivi?,Mwezi wa 10
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kamati ya saa 72, mpeni Mpanzu adhabu Kwa mchezo wake kihuni

    Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji chake kabisa, adhabu hiyo ilistahili kadi nyekundu lakini mwamuzi hakuliona tukio hilo ndo ikawa...
  10. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂 Anyway kila...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa msg za Whatsapp za G55 Kwa mwenzao aliyeshtukia Mchezo

  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Simba waanza mbinu ya kuikwepa Yanga fainal za CRDB, mbinu yao ya kwanza itaanza kwenye mchezo wao na singida

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida Yenu macho LONDON BOY
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mchezo wa leo utakuwa wa mwisho kwa Aziz Ki kama mchezaji wa Yanga

    Mchezo wa leo wa nusu fainali ya CRDB CUP, Kiungo Stephen Azizi Ki utakuwa mchezo wake wa mwisho ndani ya kikosi cha Yanga SC. Azizi Ki anaondoka Yanga SC baada ya mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania. Source: Nassib Mkomwa kupitia akaunti yake ya X zamani Twitter
  16. O

    JamiiForums Tanzania Siasa mchezo mchafu

    Kwa upande wangu mimi uwa namkubali sana mheshimiwa waziri wa madini nikiamini ni kijana mwenye uwezo mzuri sana wa kuongoza. Hata juzi nikiwa naangalia ufunguzi wa ofisi ya wizara nlipenda alivyoongea sasa leo nmeona kama kituko aiseee habari ya Milard Ayo...
  17. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Simba itashinda mchezo wa jumamosi kama watakuwa makini Dakika za mwisho wa mchezo

    Matokeo ya mchezo wa jumamosi yashatoka, Simba Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii game ya jumamosi. Mambo yanaweza tu kubadilika endapo Simba hawatoongeza umakini hasa kuanzia dakika ya 70. All in all nawatakia Kila la heri Simba Sc.
  18. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Final kombe la Shirikisho

    Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili. Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wanagomea Mchezo kwa kuwa hawamtaki Kijumbe

    Nimejitihibitishia pasina shaka kuwa kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Utopolini. Usijekuta wamechanganyikiwa kwa madeni katika michezo, wameibiwa na kijumbe wao halafu wanakuja huku kutuvuruga kwenye mpira wanatuimbia Hatuchezi, Hatuchezi! Embu tuwaulize vizuri, mchezo upi huo hawataki...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Inakosekana kanuni au sheria ya kuiadhibu klabu inapotangaza haitacheza mchezo ulio katika ratiba

    Kimsingi, hauwezi kumuadhibu mtu au taasisi kwa sheria au kanuni ambayo haipo. Kwenye sakata la derby ya Yanga vs Simba ambalo tumekuwa nalo kwa miezi kadhaa sasa, imetuonyesha mapungufu ya kanuni mbalimbali za uendeshaji wa ligi na adhabu zake. Tukiacha yote hayo, moja ya mapungufu makubwa ni...
Back
Top Bottom