mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha bodi ya Ligi, hizi ndizo sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo wa Ligi kuu kuahirishwa. KANUNI YA 9 KUAHIRISHA MCHEZO Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati ya zifuatazo:- (a) Endapo timu ina wachezaji watano au zaidi katika timu ya...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  3. Akotia

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Karne Yachezwa Nje ya Uwanja: Siasa, Figisu Figisu na Mchezo wa Giza kwenye Ligi Yetu!

    Hii saga ya kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni noma sana, na inatia mashaka kinoma. Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, na kwa bahati mbaya au kwa makusudi, mechi kubwa zaidi Tanzania imeahirishwa kwa sababu ambazo zinaonekana kama zimetengenezwa makusudi. Simba walikuwa na haki yao ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

    Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza. Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka Timu ngeni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

    Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
  6. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi. Kwa busara tu...
  7. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Simba ina haki ya kusikilizwa lakini sio kususa mchezo

    Yaani mmekuwa na muda wa takribani wiki moja ya kufanya mazoezi na maandalizi yenu yote, mmetumia gharama kubwa sana halafu mnasusa mechi kisa kunyimwa kufanya mazoezi usiku? Simba mpo sahihi kusikilizwa, lakini si haileti tija kususa mchezo. Kususa mchezo ni sawa na kujichukulia sheria...
  8. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo upo kama kawaida, Kariakoo Derby Machi 8, 2025

    kuna ukweli juu ya hii taarifa au uzushi tu
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

    Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hutazama mieleka licha kujua ni mchezo bandia?

    Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika, sawa na filamu au kipindi cha televisheni, ambapo matokeo yameamuliwa mapema lakini utendajikazi na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  12. sergio 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nne baada ya kumtongoza single mother nimeombwa 10k ya mchezo

    Bhana uku na uku uku na kule nikajuana na single mama mmoja mzuri sana sura trakon 👍 yaani yupo kamili kweli Kijana nikatema vocals nikakaziwa nikawa na force nikimsisitizia kuwa Mimi nimemuelewa sana Akiwa anakaza Leo jioni nikachekiwa jioni nikachekiwa sorry nimetoka kanisani "Nina shida...
  13. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanafundisha mchezo wa ngumi (boxing) kwa hapa Iringa

    Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili, Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika! Je, Viwanja hivi havina standby...
  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzao wanajiandaa na mchezo wao wakajiona tayari mabingwa wakaenda kuzurura bungeni dodoma

    Weka neno moja kisha pita kimyakimya 😀
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanaotoa tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo, hawajui mpira

    Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂 Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho Jana kapewa Ateba. Mchezaji...
  17. jangoma

    JamiiForums Tanzania Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

    Aisee huu mchezo sio poa yani unazabwa kofi mpk unaskia marue marue. Kibongo bongo mechi zake zinachezewa wapi?
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

    Hii mtaani tusema "Utaoga lakini mjini huendi" Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi Tuna...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama una lipa ada milioni moja na nusu hadi 3 Kwa mwaka, badala ya Dola elfu thelathini Basi jua unafanyiwa mchezo

    Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa? Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Life is truly a Numbers Game/ Maisha kiukweli ni mchezo wa namba

    Life is truly a Numbers Game Maisha ni mchezo wa namba Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au unafahamiana nae miaka mingapi. Jaribu kuwa na utamaduni wa kuwatafuta watu wengi kadri ya uwezavyo ...
Back
Top Bottom