mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  2. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua marathon yenyewe pia ni mchezo wa kitajiri

    Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
  3. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Maisha hayataki mchezo

    Habari wakuu. Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo. Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia? Unapiga Moyo konde na kusema Wacha nisonge mbele asee hujafika hatua kadhaa unaskia asee Kuna michango...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Kipaji chako Ungeshinda Mchezo gani Olympics?

    Habarini wakuu, Huku Michezo ya Olympics Ikiendelea Jiji Paris- Ufaransa. Michezo mingi ya kizungu lakini sisi tunaona ya ajabu ajabu. Ila na sisi wangetuekea michezo yetu ile ya rede na kushindana kula tungepata sana washindi Unahisi wewe ungeekewa michezo gani ili ushinde? Kwa mfano mimi...
  6. michael masala

    JamiiForums Tanzania Tetesi: JE? siasa ni mchezo mchafu

    Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisarawe kumekucha, DC. Magoti atangaza yeye sio DC wa "mpeche mpeche", watakaoleta mchezo atawang'oa visogo

    Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto, bali ni mtu mzima, na Rais kamteua. N.B: nadhani anaweza kufanya tukio kubwa, pengine baya, ili...
  8. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madai ya malimbikizo ya madeni ya watumishi ni mchezo wa paka na panya

    Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi. Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda daraja,likizo ,uhamisho nk lakini mchakato wa kulipwa imekua danganya toto. Serikali kuu imekua na...
  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

    Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa michezo mh hamis mwinjuma Jana tulikaa had saa Tisa kwenye mabaar na kusababisha mm kupata hasra za...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tunaupenda, ila mpira wa miguu ni mchezo wa kihuni

    Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing. Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college. ''Yanga waliandikamkataba kwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

    "Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni 𝐆𝐀𝐌𝐎𝐍𝐃𝐈 𝐃𝐀𝐘 Kwenye 𝐆𝐀𝐌𝐎𝐍𝐃𝐈 𝐃𝐀𝐘 itakapofika 𝐝𝐚𝐤𝐢𝐤𝐚 𝐲𝐚 𝟑𝟎, wana...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  16. vanus

    JamiiForums Tanzania Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
  17. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

    1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
  19. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha

    Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
Back
Top Bottom