mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuishangilia kwa ghafla Serengeti boys, huwenda kukawapo hofu na kupoteza mchezo

    Hizi ni fikra zangu tu binafsi, kuwashangilia na kuwatambua kwa ghafla, kuwazawadia, kuwatumia ndege, kuwajazia waheshimiwa tele, huenda vijana wetu wakaingia ubaridi hofu na woga, maana wamepandishwa juu na kupewa heshima kubwa ya kutambulika kwa ghafla. Binafsi niwajenge kisaikolojia...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo?

    Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu? Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣 CCM chali kifo cha mende Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭...
  3. JamiiForums Tanzania Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

    Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake. Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup. Jeraha la Messi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIRI YA MCHEZO: Leo ngoja nishare playbook yangu 6*6

    Kwanza kabisa niseme hii playbook ni zao la experience ya muda mrefu, na nitaigawa kutokana na umri/tabia ya mwenza wako mchezoni 1.MSHANGAZI MWENYE LOW LIBIDO Hapa kijana usihangaike sana, chapa bao 2 tu kwa utaratibu huu na utanishukuru. Bao la kwanza kaa nae missionary, ichape huku...
  5. JamiiForums Tanzania Siasa ni sayansi, si mchezo mchafu

    Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa.
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Tawire tawire Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo...
  7. X

    JamiiForums Tanzania China kwa sasa ni reference point ya EV industry duniani, imebadilisha rules za mchezo.

    Makampuni mengi ya kutengeneza magari yameingia kwenye production ya EVs, magari ya umeme. Changamoto wanayokutana nayo ni kwamba tayari China's EV industry imesha-set standards. Inachofanya sasa China ni kama Japan's auto industry miaka ya 1980 hadi 2000 mwanzoni ilivyoweka legacy kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Mbona hamkuniambia kuwa HISA ni mchezo wa kubet?

    Nina mwezi sasa hisa hazipandi kwanza sishashuka Hapo nilikua na 170,000 Saizi imebaki 148,000 Nasikitika sana HAMKUNISANUA
  9. S

    JamiiForums Tanzania Aviator mchezo ulionipoteza kiakili na kifedha ila sasa nimeushinda

    Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu ya kifedha na kuniacha na pressure kubwa ya akili. Zaidi ya hasara ya pesa, niliona pia jinsi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yarindima kuwatawanya mashabiki Uwanja wa CCM Kirumba baada ya mchezo kuisha 1-1

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Baada ya mchezo kumalizika...
  11. JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya Viongozi Iran watakuwa wameshtukia huu Mchezo?

    Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku. Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mchezo wa ajabu sana unafanyika vituo vya mafuta, hivi vidumu vya mafuta wanavyoficha kwenye dustbin wanatoa wapi mafuta ?

    wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari, sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu. nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10. nimempa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
  15. JamiiForums Tanzania Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo

    Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Eti refa akiharibu mchezo wa kesho tutamfunga!

    Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi mahakamani,sasa imekuwaje?
  17. JamiiForums Tanzania Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
  18. JamiiForums Tanzania Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

    Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache. Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia. Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo...
  19. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  20. B

    JamiiForums Tanzania 🔴#LIVE MATCH: AS otoho VS Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

    01 February 2026 Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…