mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
  3. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini

    Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo nchini hatua inayosaidia kutoa ajira kwa vijana na...
  5. JamiiForums Tanzania Ulichonacho kinatakiwa kiwe mchango kwenye mapenzi yenu

    Wacha niwape somo dogo kwa leo. Kwa mtu unaempenda na kwa mapenzi unayoyapenda. Vipaji vyako,elimu yako,kazi yako,pesa zako,ujuzi wako n.k hivi vyote vinatakiwa kuwa mchango katika mapenzi yako aiti ukiona mtu anatumia vipaji vyake kwaajili ya kukutesea ama kukulingia kaa ukijua huyo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wengi ni masikini tena waliopo sekta za umma

    Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa mchango mkubwa katika kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni sekta ya Tehama imekuwa na maendeleo makubwa katika nchi mbalimbali za Afrika, maendeleo ambayo si kama tu yamekuwa na manufaa kwenye mawasiliano, habari na utangazaji, bali pia yamekuwa na manufaa makubwa kwenye sekta za afya, elimu, biashara na...
  8. JamiiForums Tanzania Tuache lawama! Kila mtu hupokea kulingana na Mchango wake katika jamii

    Kumekuchwa! Ukitoa Mia utapokea Mia. Ukilima mahindi bila Shaka utavuna mahindi! Maisha ni mfano wa kioo, ukicheka yanacheka ukinuna yananuna! Taikon siku zote atasema ukweli hata Kama unauma, ukweli ni ukweli tuu. Hili la Profesa Jay kuchangiwa limezua minong'ono kwenye jamii, hata hivyo hii...
  9. JamiiForums Tanzania Sitamchangia pesa Mwanasiasa yoyote

    Moja ya vitu ambavyo hushangaza kwa sisi watu ambao tupo kwenye ulimwengu wa 3 ni namna tunavyofanya maamuzi. Ukweli usiopingika ni kuwa tunahitaji wanasiasa watuongoze na ndio mfumo upo hivyo na wala sio jambo baya. Siasa katika nchi zetu ni biashara kubwa pengine kuliko zilivyo biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Kenya, Martha Koome: Mwanaume anayeishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke anahitajika kuthibitisha mchango wake kwenye nyumba hiyo

    Jaji Koome anasema Mwanaume anayeishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke naye anahitajika kuthibitisha mchango wake kwenye nyumba hiyo. Kucheka tu huku ukiwa kwenye nyumba ya mwanamke ukibadilisha chaneli za runinga haiwezi kumpa haki mwanaume kumiliki sehemu ya mali ya mwanamke. Haya...
  12. JamiiForums Tanzania Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

    Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma.. Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper...
  14. JamiiForums Tanzania Kama harusi imehairishwa ni vema nikadai mchango nilioutoa?

    Naombeni ushauri wakuu kama mnavyojua tarehe mbaya hizi hapa nilipo nimenasa haswa Sina hata mia yaani ikitokea ghafla bill ya maji au umeme naaibika maana kila ninayemgusa analia njaanuary kapeleka watoto shule. Back to the topic Kuna group letu la shule kuna jamaa yangu tumemchangia mchango...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga yazindua kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama

    Yanga imeingia mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Card kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa klabu hiyo ambayo inaingia katika mfumo mpya wa uendeshaji. “Ni kadi ya kisasa ya kidigitali ambayo itakua na jina la Mwanachama na picha yake...
  17. JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti uliokithiri katika mkoa wa Iringa na Njombe, je Benki kuu inaweza kuwa na mchango kulikabili hili?

    Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu. Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

    Zoom Saturday Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili. Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse Session: Miaka 60 ya Uhuru mchango wa Kidijitali

    Katika siku za karibuni mitandao ya kijamii na Mifumo ya Kidijitali imekuwa maeneo muhimu kwa Jamii ya Tanzania kutumia Uhuru wa Kujieleza na kupigania haki zao nyingine Tukifurahia Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni kwa kiwango gani tumeweza kuitumia mifumo ya Digitali katika kusimamia Haki za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…