mchanganyiko

  1. JamiiForums Tanzania kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko.

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  2. R

    JamiiForums Tanzania MPYA Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha

    Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha (hasa kama sehemu ya mtindo bora wa maisha), ingawa si mbadala wa dawa kama una presha tayari ya muda mrefu. Hivi ndivyo unavyoweza kuutumia kwa ubora zaidi na kupata matokeo ya kudumu: Kwa nini...
  3. JamiiForums Tanzania Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko gani wa matunda unapenda juisi yake?

    Zipo juisi za mchanganiko wa matunda wa aina nyingi ila kwa upande wangu napenda sana mchanganyiko wa Parachichi, Embe, pasheni na iriki na nikikosa embe natmia nanasi, huu naweza kunywa hata kila siku mwaka mzima na nisiuchoke. Wewe unapenda juisi ya tunda gani?
  5. JamiiForums Tanzania Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

    CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi. Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikiwa katika biashara ya kununua na kusafirisha mazao Tanzania

    Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida. Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
  7. JamiiForums Tanzania Tafuteni Mchanganyiko wa hizi mimea ni Mjarabu sana kwenye matibabu ya CHANGAMOTO ZA UZEE kama usingizi,kusahau,maumivu viungo n.k

    Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa Tanzania mimea hii hupatikana Kilimanajro na ukanda wa pwani. 1. Matatizo ya aina yoyote ya kuumwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dener mchanganyiko wa Pele na Garincha kipaji kilichopotea ghafla

    Wengi tumesikia au kushuhudia vipaji vya wachezaji tofauti wa Brazil kuanzia Pele, Garincha, Zicci, Romario, Ronaldo, Gaucho na Neymar kuwataja kwa uchache. Kuna kipaji cha mchezaji wa Brazil ambaye hata Maradona alimshangaa na kama sio kupata ajali kingeweza ku9nekana mwaka 1994 kwenye kombe...
  9. JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment.. Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini... Kuna mambo mawili naomba nirudie 1.Kufanya Biashara 2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini Watu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Humu ukisoma habari mchanganyiko unachanganyikiwa akili

    ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hili ni pishi letu la jana, kwasababu mlisema sana mchanganyiko wa maini +bamia+na nyanya chungu

  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

    Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
  14. JamiiForums Tanzania Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Mchanganyiko huu! Msimtegemee Kurudiwa na akili/kumbukumbu kwamba ataongea kama mtu wa kawaida(kukumbuka chochote!)Msahau! Kama alivyosahaulishwa!

    gabapentin, lamotrigine, levetiracetam, pregabalin, and topiramate... hii chemistry!...hizi ni baadhi ya medics hatari sana kwa afya ya akili, ambazo mtu mzima na afya yake hapaswi kupewa! Msitegemee mtu huyu kurudiwa na utimamu wake wa akili... kwamba ataweza kukumbuka chochote akilini...
  16. JamiiForums Tanzania Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia

    Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Wakuu habari zenu. Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza. Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
  18. JamiiForums Tanzania Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  19. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kilimo cha mchanganyiko

    🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏 Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji ili kuunda mfumo endelevu na bora wa kilimo. 📌FAIDA ZA KILIMO CHA MCHANGANYIKO 1. Mapato Mseto...
  20. JamiiForums Tanzania Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…