Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao!
Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki!
Let it be documented rather than leaving the...
Wakuu,
Kwanini hizi aina nyingine za Mbwa hatuoni zikitangazwa sana hapa Tanzaniaa zaidi ya German Shepherd
Je upatikanaji wake ni mgumu au ndio watanzania wamekariri tu?
1.Golden Retriever
2.Labrador Retriever
3.Husky
Sifa zao
1.Ni salama na rafiki kuishi na familia hasa watoto.
2.Wana uelewa...
Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari.
Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa...
Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
Tukio la uume wa mbwa wa kiume kubaki ndani ya mbwa wa kike baada ya kupandana ni jambo la kawaida kabisa na ni sehemu muhimu ya uzazi wa mbwa. Hali hii huitwa “copulatory tie” au “lock”. Ni mabadiliko ya kibiolojia yanayosaidia kuhakikisha mbegu zinafanikiwa kurutubisha.
Hali hii hutokea...
Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi.
Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima.
"Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe".
Wakuu,
Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia
Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME.
Kilichosomwa:
"Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
Hii nimetoa Facebook.
DAR ES SALAAM;MIONGONI mwa nyoka wanaoogopwa sana na watu, ingawa hana sumu ni yule aitwaye chatu.
-
Huyu ni mmoja wa nyoka wakubwa zaidi duniani mwenye uwezo mkubwa wa kubana na hatimaye kumeza mawindo yake makubwa yaani wanyama.
-
Inaelezwa na baadhi ya watu kuwa, nyoka...
Wakati wa vita, Mbwa Mwitu wa kike hukaa karibu chini ya wa kiume, kwa utulivu mkuu na usio na hofu.
Anamwamini kabisa na anajua nguvu zake zitawalinda wote wawili.
LAKINI...!
Mbwa mwitu wa kiume wana sheria moja wanayoiheshimu sana ...!
Hawadhuru wanawake kamwe; hivyo mbweha jike yuko salama...
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe.
Book 2, Number 0704:
Narrated Abdullah ibn Abbas:
Ikrimah...
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
Habarini za jioni hii,
Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika.
Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika).
USHAURI;
Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa...
Kuna hizi baadhi nimepewa;
Hana bima ya afya wala hamjui vet.
Anajitafutia msosi wakati wa shida na kula mabaki
Anaudhuria misiba na harusi ata mitaa ya mbali
Anaweza kugongwa na gari, lakini akaendelea kutembea kwa miguu mitatu hadi apone
Anajua siri za kila mtu hadi nani anarudishwa usiku na...
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.
Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.
Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri.
Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji.
Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.