Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima.
Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama upepo unapoelekea na wakati mwingine ulozi.
Natambua Askofu kujishirikisha na mambo hayo ni kazi...