mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa: Wananchi Tuendelee Kushikamana, Maendeleo Hayana Njia ya Mkato

    MBUNGE NGASSA: "WANANCHI TUENDELE KUSHIKAMANA , MAENDELEO HAYANA NJIA YA MKATO" "... Mwaka 2021 baada ya Uchaguzi Mkuu Nilikuja kufanya Mkutano wa kushukuru hapa kwenye Kijiji chenu, Nikawaahidi kukamilisha Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi katika kuunga mkono nguvu zenu...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”. Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwambe: Ujio wa Rais Mtwara utatatua Migogoro

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Mhe. Cecil Mwambe, amewataka wananchi wa Chikunja na Likuredi wajitokeze kwa wingi kumlaki Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapokuwa anaelekea Nachingwea mkoani Lindi. Mwambe ameyazungumza Septemba 14, 2023 wakati wa mapokezi ya Rais...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Magige Bega kwa Bega na Ujenzi wa UWT Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Monduli ambapo amechangia vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine), kwaajili ya kukamilisha ukarabati wa Ofisi ya Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mhandisi Aisha Ulenge - Sipingi Matumizi ya Force Account Lakini Tusiifinyange Sheria ya Manunuzi ya Umma

    "Ibara (75) ya Matumizi ya rasilimali za ndani. Lengo la kupitia sheria ya Manunuzi ya Umma ni ili ziende kuboreshwa. Moja ya kitu ambacho kitakwenda kukinza utekelezaji wa sheria ya Manunuzi ya Umma ni pamoja na kutokufanya tathmini ya kina kwenye miradi iliyojengwa kwa fedha nyingi za Umma" -...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai Afanya Makubwa Kwenye Sekta ya Maji

    Mwaka 2020 jina la Saashisha Mafuwe likawa miongoni mwa majina 42 ya makada wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama ukafanyika na Saashisha Mafuwe akaibuka mshindi na baadae Chama kikarejesha jina lake...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zainab Katimba aiomba Serikali kuyajengea uwezo makampuni ya ndani Ili kupata Fursa ya Mikataba ya manunuzi

    "Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zubeida Khamis Shaib Bega kwa Bega Utekelezaji

    MBUNGE ZUBEIDA SHAIB BEGA KWA BEGA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI JIMBO LA MFENESINI Mhe. Zubeida Khamis Shaib, Mbunge wa Jimbo la Mfenesini akiongoza Viongozi wa Kamati ya Siasa ya Jimbo la Mfenesini katika zoezi la kukabidhi Vifaa vya Usambazaji wa Maji Safi na Salama pamoja na Mashine...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Mbunge wa Nkasi, Aida Khenani

    Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni. Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko. Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe amjibu Tundu Lissu kuhusu Wabunge kufanya biashara ya pamba, amwambia 'Mbona Mwenyekiti wake alikuwa Mfanyabiashara na Mbunge'

    Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba. Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  15. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

    Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa! Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi. Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe. Tulianza kuona mwanga kuwa miradi...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina Alia na Uhaba wa Dola

    Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani? My Take Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu. --- MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA "Sekta ya fedha hapa nchini na kwa ukanda wa SADC tunategemea dola, dola hakuna na zimeadimika. Wafanyabiashara hawapati...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Apongezwa na Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B

    Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B, Iliyopo Wilaya Ya Ulanga Inapenda Kutoa Shukruni kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru kwa Kuwa Mmoja wa Viongozi ambao Wamechangia kwa Namna Moja Au Nyingine Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa na Ofisi ya Walimu wa Shuleni...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama mjini ndugu Kishimba ahudhuria mkutano wa Tundu Lissu (CHADEMA) uliofanyika kata ya Isaka

    Huyu umwonaye hapo☝️☝️☝️katikati ya umati (mwenye kapelo) ni mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini [CCM] maarufu kama Prof. Jumanne Kishimba.. Leo (kama anavyoonekana pichani alikuwa miongoni mwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa mwisho siku ya leo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
Back
Top Bottom