Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu:
Itakuwa ndiyo nguzo...
Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame).
Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo;
1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
Maandamano ya kesho sijui yatakuwa vipi. Kesho atakamatwa Lema na binti yake.
Lakini hili ni jambo serious. Hakuna haki katika nchi. Wananchi tunataka kurekebisha. Kesho yanapaswa kuwepo maandamano ya amani. Maandamano lazima yawe ya amani,siyo kila mtu afanye anavyopenda.
Watu wengine...
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni...
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.
Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani.
Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
Wana CDM naombeni maoni yenu,nataka kuanzisha suala ya kikatiba chini ya mfumo wa kidemokrasia- msiniulize ni demokrasia gani ila mtapata majibu very soon kupitia taratibu za kisheria
Hoja ya msingi ni kupata maoni kuhusu je Lissu aendelee au Mbowe arudi na Leo litakuwa swali la kipima joto...
Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini.
Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
Wana Jamnvi
Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo aliongozana na wastaafu wengine wa chama kwenda kumuona private huko Magereza tukizingatia siku maalum ya...
Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo:
Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti.
Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu analalama hivi, "no reforms no election" ni kukamatia hapo hapo mapambazuko ni karibu.
"Kamanda...
Huko miaka ya 2000s baba aliwahi kunambia kuwa Mbowe na ZZK ni vijana wa mfumo, wanaeongoza vyama vya upinzani lakini kwa kulinda na kusimamia miongozo waliyopewa na mfumo.
Kitendo cha Mbowe kukabidhi madaraka kwa mtu mwengine rasmi inaonesha hatokuwa na mamlaka tena ya kutaka na kuamua namna...
Ndugu zangu Watanzania,
Niliwaambieni Sana ,niliwaeleza sana CHADEMA, niliwapa Elimu wana CHADEMA,niliwatahadhalisha wana CHADEMA kuwa kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti ilikuwa ni sawa na kujipiga kitanzi,ilikuwa ni kujitundika juu ya kamba na kuweka shingo ndani yake na kisha kutegua kiti chini...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana
Mrema
Mbowe
Lipumba
Maalim Seif
These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya siasa za kumaliza watu wa CCM kwa kutumia Kamati za Bunge huku yeye akıla vinono. Hali kadhalika...
John Mrema (Kushoto) Freeman Mbowe (Kulia)
I. Utangulizi
Kundi la watiania 55 ndani ya Chadema, wakiongozwa na John Mrema, limethibitisha kwamba hoja za kikambi zilizoibuka wakati wa uchaguzi ndani ya Chadema bado zinaendelezwa na Timu...
Unajua katika hii dunia trust no one .
Haiwezekani watu wakufunge
Wakunyanganye Mali
Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha.
Haiwezekani .
#Kataa Ccm
#No reform no Election.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.