mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Freeman Mbowe atajiunga na CHAUMMA, taifa litanufaika sana

    Habari wanaukumbi! kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

    Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mbowe anatumika ama anatumiwa?

    Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala. Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana. Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama...
  4. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kishindo cha Hashim Rungwe: Aendelea kutamba anga za siasa za Tanzania, asema CHAUMMA iko tayari kumpokea Mbowe awe Mwenyekiti

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae mahala pamoja! Watu waliooukwaa ubilionea tangu senti hamsini iko kwenye mzunguko wa fedha Tanzania...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni Wakala wa Siasa – CHADEMA Sio Mali ya Familia Yako!

    Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti...
  7. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kuondoka na covid-19 kumi kwenda nao CHAUMMA

    Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!. Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mabadiliko Je Zitto alikuwa sahihi kutaka kumng'oa Mbowe?

    Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
  9. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Mbowe ila kuna madhaifu makubwa sana kwake niliyaona tangu 2014 japo niliamua kukaa kimya

    Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili 1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua . 2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great thinkers na wasomi . Ila udhaifu ambao nimeuona kwake ni ile kukumbatia falsafa ya kiswahili...
  12. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe ataipora Chadema jengo lake la makao makuu Mikocheni?

    Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande wa Zanzibar Je Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mlinzi wa Freeman Mbowe amepokelewa CHAUMMA, what next?

    Salaam! Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili. Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu, Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia mbele kabla kuweka mambo sawa? Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMMA kuna move gani yaja...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Mh. Mwenyekiti Mstaafu Mahakamani au Hamjamuna?

    Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi. Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM. Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe kufanya mkutano na waandishi wa habari Mei 19, 2025

    Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania MBOWE NI BABA NA MZEE NA MWANZILISHI WA CHADEMA ALIYEBAKI ATOE KAULI

    Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Kusema 'No reforms No election' tunatania ni kumdhalilisha Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

    Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau. Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau. Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos...
Back
Top Bottom