6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida...
Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani.
Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote?
Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote?
Kwanini...
Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke.
Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021
Ungana...
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama.
Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 11/11/2021 yanatolewa maamuzi ya kesi ndogo Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri...
Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu.
Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza.
Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria.
Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama.
Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa...
Kwamba Jaji Tiganga kalitupilia mbali pingamizi kesi ya Mbowe na aliwahi kutoa hukumu hii:
Kuna nini kilichobakia?
Pamoja na kumshtakia Mungu, huyu Jaji aombwe kujitoa.
Hapo vipi!!
Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.
Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.
Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.
Ninachokiona...
Yaliyojiri mahakamani leo yanaacha maswali mengi yasiyoweza kuwa na majibu
Ni vipi athari za shauri kuangaliwa kwa upande wa mashtaka tu?
Ni vipi Jaji kuwa mshauri wa upande wa mashtaka?
Vipi maamuzi yanaegamia upande wa mashtaka tu?
Haupo uwezekano kuwa shitaka hili limeshaamriwa tayari...
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni:
1. Anatuhumiwa kumwekea...
Clip inawaonesha washitakiwa mahakamani buheri wa afya na nyuso za bashasha:
Haiyumkiniki faulo zote ni dhahiri zaidi kwao kama watendwa. Yawezekana psychologically wako set wanajua nini watesi wao wamepanga.
Mashahidi Kingai, Anita, Mahita na sasa Jumanne wote wanaongelea ukamataji tu...
Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne.
Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za watuhumiwa kinyume cha sheria inayoongoza tendo hilo.
Sasa upande wa utetezi ume - OBJECT tendo hilo na...
Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure).
Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini.
Kosa hilo kisheria linaitwa "wrong citation of the law".
Mawakili wa Serikali wamejenga hoja kwamba hili kosa...
Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine.
Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
Kesi ya Mbowe imekuja na mengi.
Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena:
Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi.
Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani.
Yote hayo kinyume cha...