mbowe

  1. Siasa anazofanya Freeman Mbowe zipo sahihi ✓

    Mh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 👊👊👊 Mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuongea Kwa ajili Hawa watz keyboard worries Naomba we lamba Asali TU Taifa la Tanzania haliwezi kukombolea maana Kuna watu they knows nothing Wao ni Diamond na Alikiba, Simba Yanga , ngono na pombe 24/7 That All
  2. Mbowe awasha Moto mkali na kumwaga Vumbi!

    Pichani with a loser, …
  3. R

    Ushauri kwa CHADEMA: Mwenyekiti Mbowe na wenzako, mumshirikishe Ansbert Ngurumo kama one of your think tank

    Mumshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za katiba mpya na Tanzania mpya mnayoitafuta! Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia, katiba mpya! https://www.jamiiforums.com/threads/sikiliza-busara-za-ansbert-ngurumo-kutoka-juu-ya-funzo-kutoka-uchaguzi-wa-kenya.2011259/...
  4. T

    Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  5. M

    Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  6. M

    Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  7. Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
  8. S

    Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana. Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia! Mfano ni Zitto Kabwe kipindi...
  9. Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

    Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia. Pasikali asiyewapenda...
  10. Mbowe anajadiliana na serikali namna anaweza kufidiwa hasara zake na serikali alizozosababishiwa na Anko. Ya kitaifa yanaitaji kusukumwa mwingine tu.

    Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi. Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa...
  11. Kwakuwa kesi ya Mbowe iliishia njiani na inaweza kurejeshwa, Kingai aisuke tena

    Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha. Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
  12. Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi. Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe. Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini [emoji116][emoji116] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. M

    SI KWELI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  14. M

    SI KWELI Kibatala ajiondoa kumtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili

    Kumezuka tetesi ya kujitoa kwa uwakilishi wa wakili Peter Kibatala katika kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani CHADEMA, ambapo taarifa hizo ziandai kuwa kuanzia wakati huo wakili Peter Kibatala alikuwa amejitoa rasmi katika kesi ya Freeman Mbowe.
  15. Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mbowe jijini Dar es Salaam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
  16. M

    Twaha Mwaipaya apata dhamana

    Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
  17. Mbona Mbowe yuko kimya, ni kawaida yake?

    Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake. Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
  18. Je, DPP atalazimika kuiondoa Kesi ya akina Halima Mdee kama alivyofanya kwenye Kesi ya ugaidi ya Mbowe?

    Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea kuwakumbatia hao akina Halima Mdee, naziona dalili zote za kutokea kile kilichotokea kwenye ile Kesi ya...
  19. M

    Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  20. K

    Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…