mbowe

  1. music mimi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

    Wabongo ni taifa la wapumbavu Leo hii Mbowe alianza kutumia pesa za baba yake kujenga chama miaka ya 2000 leo ndiye anaitwa mlamba asali? Mbowe mwaka 2005 alikodi helicopter kuzunguka nchi mzima wakati chama hakina hata ruzuku leo watu wanasema kalamba asali? Aisee Mbowe kavunjiwa club yake...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kingai Pekee ndiye aliyeweza kupambana na Mbowe akishia kupandishwa cheo; wengine wote wameishia pabaya

    Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi waliokuwepo wakati ananyanyasika nao wametupwa nje Kwa fedhea. Walioitwa viongozi WA dola waliamini mfumo...
  4. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Hotuba ya Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho

    Wasalaam. Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza. Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho. Katika hotuba...
  5. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

    Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali. Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia. Is MBOWE OKAY?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8. Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

    Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM. Siku ambayo hao watatu...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

    Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu? Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Freeman Mbowe kwa kuifikisha Tanzania hapa!

    Freeman Mbowe ni matunda ya harakati za mapambano dhidi ya dhuluma, uonevu na ukoloni. Amerithi hulka ya mapambano ya kudai haki za wananchi wenzake kwa baba yake Aikaeli Mbowe aliyekuwa mwana Afrika shupavu na mpigania uhuru hodari. Freeman (Uhuru) alizaliwa katika miaka ile ambapo watanganyika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tusione aibu kumpongeza Mbowe na Rais Samia

    Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri. Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe aanze kuwafukuza uanachama wanaopinga jitihada zake

    Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe. Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe. Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya hapo, amalize na Mdude
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele. Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa. Ikumbukwe kwamba raisi...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mazungumzo ya Rais Samia tumeyapokea ‘positive’ na kwa tahadhari kubwa

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema: Taifa letu limekuwa na mfumo wa ukandamizaji wa demokrasia kwa muda mrefu, kuanzia ngazi ya taifa hadi vitongozi, lakini tutaangalia kwa macho angavu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwamba Freeman Mbowe Mwasisi wa Maridhiano

    Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
  18. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Rais Samia waliyopiga Ikulu inaonesha asali nyuma

    MADAI Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake. Ukweli wa picha hii upoje? Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali Picha...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 yawa kilio kwa Mbunge Saashisha Mafue

    Kitendo cha Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 kimemfanya mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue kumalizia mwaka 2022 na kuanza mwaka 2023 vibaya. Hii imetokana na mwaliko aliyokuwa amealikwa lama Mgeni rasmi kutokuoneka na bila kutoa taarifa ya udhuru jambo ambalo...
Back
Top Bottom