mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Kusema upo upinzani kati ya Mbowe na Lissu siyo sahihi

    Mbowe anaweza kusema Rais Samia anafanya kazi nzuri sana: amejenga baarabara hapa na pale na pale. Lissu anaweza kusema Rais Samia ana matatizo makubwa sana; pale na pale na pale bado hajajenga barabara. Sasa, that is just two sides of the same coin. Hawajabishana kitu chochote. Kwa mfano jana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe. Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  5. JamiiForums Tanzania Jukwaa alilopanda Mbowe ni kiwango cha chini na halifai

    Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?
  6. JamiiForums Tanzania Makamanda wenzangu acheni siasa za maji takataka. Byakanwa alisimamia sheria kuvunja shamba la Mbowe. Tuache kumchafua kisa tu kalamba teuzi

    Someni kifungu cha 57(1) cha sheriya ya mazingira. Mbowe alivunja sheria nchi wala hakuonewa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema alalamika DC aliyeharibu shamba la Mbowe Wilayani Hai kuteuliwa Ubalozi

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amelalamikia uteuzi wa Gelasius Bakyana kuwa Balozi Lema anesema Teuzi kama Hizi zinachochea kukua kwa Ukatili na Uovu hasa ikizingatiwa Gelasius Bakyana ndiye aliyefyekelea mbali mazao ya mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzani mh...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nakushauri kuwa makini na genge la Mbowe, unapinga wazi maridhiano uchwara wanaweza kukufanyia figisu

    Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
  10. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe hujahudhuria uzinduzi wa ikulu mpya, who knows siku moja waweza kuishi Chamwino

    Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma. Hongera...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati Mbowe anazunguka kusifia alivyolainishiwa maisha, Lissu anaongelea ugumu wa Maisha wa Masikini

    Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia. Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe very attentive, nani alikuwa anahutubia na issue gani?

    ANGALIA PICHA
  15. JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

    Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
  18. JamiiForums Tanzania Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me Martin na Malcom: Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa, Martin...
  19. JamiiForums Tanzania Natabiri Mbowe na Lissu mwaka huu hauishi watagombana

    Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts). Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo. Kauli za Lissu lazima zitakuwa zinamkera sana Mwenyekiti hadi juzi Mrema katoka kuzipinga. Sio mara...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…