mbowe

  1. econonist

    PreGE2025 Kitendo Cha CCM kupata Asilimia 99% za wizi kilitosha kumstaafisha Mbowe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
  2. Z

    Mbowe kuanza kumchafua Lissu ni dalili ya kuzidiwa au kuweweseka?

    Ukisikiliza mazungumzo ya Mbowe ni dhahiri ameanza kumchafua Lissu hiyo ni dalili ya kushindwa. Lissu yeye anajenga hoja
  3. Mindyou

    Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

    Wakuu, Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani "Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo...
  4. PakiJinja

    Wivu wa Mbowe unamsukuma kujaribu kutengeneza story ambaz hazipo.

    Dunia ilimsikia Magufuli akimuahidi Lissu Cheo, akawaomba hadi wazee wa Singida waongee na kijana wao. Leo Mwenda zake ameenda zake, hatukumsikia Lissu akiirudia kauli ile ya Magufuli ili kuchuMbowe credits Badala yake leo Mbowe ndiye amejivalisha uhusika wa Tundu Lissu, anatembea na story ile...
  5. M

    Mbowe kama Mandela, Maalim Seif na Mwalimu Nyerere

    Kuhusu Mbowe, Mandela, Nyerere na Maalim Seif... Mlisoma kitabu cha Nelson Mandela cha The Long Walk to Freedom, kiongozi huyo wa zamani wa ANC na baadaye Afrika Kusini anasema wakati alipoanza mazungumzo ya faragha ya kusaka maridhiano na serikali ya makaburu wakati akiwa jela, wenzake ndani...
  6. Decree Holder

    Kwanini Tundu Lissu hakutangaza nia mapema ya kugombea uenyekiti wa Chama taifa?

    Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema walioonesha kuutaka uenyekiti mapema waliundiwa zengwe na kupewa kesi za usaliti kuwazuia kugombea uenyekiti...
  7. D

    Tofauti ya watu wanaomuunga mkono Freeman Mbowe na wale wa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia) Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
  8. sonofobia

    Kigwangwala: Mbowe asikubali kushindwa na Lissu atakuwa fala kumuachia chama

    Huu ndio ushauri wa Kigwangwala kwa Mbowe.
  9. Q

    Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
  10. T

    Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

    Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu. Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu. Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
  11. Tlaatlaah

    Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  12. S

    Maneno ya hekima ya mzee Kingunge (rip), na yaliungwa mkono na Mbowe kabla hajalamba asali.

  13. S

    Mnamsakama Mbowe ila kuna wabunge wa CCM wamekalia viti tangu 2005 (2005---2025) 20yrs

    Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti. Why double standard kwa Freeman Mbowe
  14. L

    Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  15. Bams

    Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

    Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
  16. F

    Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma. Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika...
  17. Mr Why

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  18. R

    Tujadili kasoro za mkutano wa mbowe na Wahariri

    1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano 2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI...
  19. Bezecky

    KANDA YA KISINI: Sisi kusini tunakwenda Lissu Mwamba Mbowe badala ya kutuvusha sisis kavuka mwenyewe na familia yake

    ***** 1.Kanda ya kusini yenye mikoa ya Ruvuma Mtwara Lindi ni kanda ya mwisho kabisa kwenye akili za Mbowe au haipo kabisa ni muda sana aliamua kuizika kwa kuingia biashara ya jumla na wapinzani wetu ccm, alikwamisha harakati, alikuwa hafuatilii chochote hata akijulishwa anapiga kimya...
  20. Mindyou

    Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

    Wakuu, Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu. Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
Back
Top Bottom