mbowe

  1. Kabende Msakila

    ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  2. El Roi

    Mbowe sawa lakini siyo man of the hour.

    Moja ya mambo ambayo huwa ni ngumu kwa mwanadamu, " ni kujua muda na nyakati sahihi kwenye kutofanya au kufanya aina Fulani ya mambo. Nyakati au muda Fulani uamua kifanyike kipi na kipi kisitendeke. Bahati mbaya binadamu wengi huwa hawajui wakati upi ( season) unafaa au haufai. Kwa kawaida...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    CCM wanataka Mbowe aendelee, ikiwa wajumbe watamchague Mbowe itamanisha CCM na wajumbe wana-share maslahi yanayofanana

    Mpo Salama kabisa! Naona Team Lisu mmekwaza, mmekata tamaa lakini pia Wanachadema ambao sio team Lisu lakini mnahitaji mabadiliko mapya na uongozi wenye mawazo na mbinu Mpya. Poleni Sana. Ndivyo siasa zilivyo. Kwa mara ya Kwanza Historia itaandikwa, kiongozi anayeongoza CHADEMA kuwavutia CCM...
  4. Mama Ametufikia

    KIROHO, Mbowe sio mwenyekiti hata akishinda hivyo kama yupo na Baba wake wa kiroho amsaidie kumpatia haya mafunuo.

    Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature . Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti. Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti. Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado...
  5. D

    Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  6. Knock life

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  7. Bams

    Mbowe Haguswi Wala Kuumizwa na Walipoteza Maisha, Au na Yenyewe ni Mafanikio ya Mwafaka?

    Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari. Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu kuzungumzia chochote kuhusiana na utekaji na mauaji ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kwake yeye, baada...
  8. K

    MBOWE NI TUNU YA TAIFA

    Mheshimiwa MBOWE ni mkomavu na mwanasiasa aliyeweka maslahi ya Taifa mbele. Sisi wafia CHADEMS hatupaswi kutekwa na propaganda za mtu aliyeweka maslahi yake mbele badala ya nchi yake ya Asili. Mheshimiwa MBOWE pamoja na misukosuko ya kisiasa iliyomfika, bado alivaki nchini pomoja na familia...
  9. Bams

    Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
  10. S

    Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

    Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x: Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi...
  11. Ileje

    Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

    Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano! Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
  12. Mganguzi

    Zitto Kabwe ni mkomavu katika siasa za Tanzania ni mtu wa kuigwa ni kijana wa Mbowe ameanzisha chama amestaafu mbowe Bado yupo

    Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia. Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi. Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana...
  13. Right Marker

    Leo Mbowe ameudhihirishia umma kuwa ni mroho wa madaraka

    MBOWE wa CHADEMA ametangaza kuendelea kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa CHADEMA. Najaribu kujiuliza... (1) Je, akikabidhiwa na wananchi kiti cha urais wa JMT kupitia chama chake atakubali kung'ooka ili kuwapisha wenzake? (2) Je, kuanzia leo ni vibaya kama MBOWE tutampa jina la DIKTETA wa...
  14. B

    Mdude Nyangali amfananisha Mbowe na Nabii Musa, Lisu na Nabii Joshua

    Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
  15. Scared

    Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

    Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
  16. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

    Sabato Njema Wakuu! Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe. Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
  17. Yoda

    Mbowe ametoa masterclass (darasa kuu) ya siasa za upinzani Tanzania leo. Historia itamsema vizuri

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana. Baada ya...
  18. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    Wanabodi, Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza! Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
  19. technically

    Mbowe, Damu za Watanzania zilizomwagika miaka 20 hazitakuacha salama

    Nayasema haya kwa uchungu mkubwa Damu za Watanzania zilizomwagika kuanzia Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay. Kuharibu maisha ya...
  20. kagoshima

    Kama Mbowe atashinda uenyekiti, nitaacha rasmi siku hiyo hiyo ku-support CHADEMA

    Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu kinga'nganizi wa Madaraka atakaposhinda uenyekiti. Naacha rasmi
Back
Top Bottom