mbowe

  1. T

    Je, kwanini wanaomshabikia Mbowe wengi wao ni wana CCM?

    Wakuu habari zenu. Nimefuatilia majukwaa ya kijamii kadhaa wa kadhaa na kuona kua,wengi wanaompigia chapuo Mbowe na kumpamba ni wale ambao tulikua tukisuguana wakati tunaipinga CCM. Kwa wale wataalamu wa mambo ya siasa za Tanzania, naomba wanisaidie kujua kwa nini Mbowe amependwa ghafla hivi na...
  2. Mindyou

    PreGE2025 Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena. Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
  3. Mindyou

    Rasmi BAWACHA wamemlipia Mbowe Milioni 1.5 fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
  4. econonist

    Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

    Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
  5. chiembe

    Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

    Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani. Hawa ndio tukabidhi chama?
  6. Lituye

    Mbowe kaidhalilisha Chadema apumzishwe

    Nimemsikiliza Mbowe kauli zake ktk hotuba aliyo itoa nafikiri sio yeye aliye iandika ametumika kama spika.Navyo mfahamu huko nyuma kariba yake jana nimewaza tofauti kabisa na nilivyo muheshimu japo bado namuheshimu. Kwanza Mbowe anasema ameamua kugombea kwa kuwa hajaona mtu sahihi wa kuiongoza...
  7. Ojuolegbha

    Mbowe akiri kwamba 4R za Samia zimeibeba Chadema

    Mbowe akiri kwamba 4R za Samia zimeibeba Chadema
  8. D

    Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  9. A

    Mbowe; Mchezaji mzuri asiyejua muda sahihi wa kuondoka jukwaani?

    UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
  10. A

    Mbowe atoboa mtumbwi, kifuatacho?

    *MBOWE ATOBOA MTUMBWI, UTANGULIZI Hatimaye ile habari iliyosubiriwa kwa kiu kubwa, imefikia tamati leo kwa Mwenyekiti Mbowe kutanganza kugombea Uenyekiti Chadema Taifa. Hii ni baada ya Lissu kutanganza na kuchukua form siku kadhaa zilizopita. Naaam.! Vyombo vya Habari kwa siku ya leo...
  11. L

    Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?

    Ndugu zangu Watanzania, Kweli Dunia ina maajabu yake,kweli kuna watu wana matatizo sana vichwani Mwao,kweli kuna watu hawajitambui,kweli kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo. inasikitisha ,kushangaza na kufikirisha sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua...
  12. B

    Tathmini ya ndani ya aliyosema Mbowe: Mbivu na mbichi, nani malaika, nani kizingiti!

    Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma: Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe, Samia is just a pure soul. Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na...
  13. Bams

    Wana-CHADEMA waunganishe nguvu, wampumzishe Mbowe kisha waibadilishe na kurekebisha katiba ya chama

    Kwenye hotuba yake ya kutangaza kuendelea kuutaka uongozi wa CHADEMA, alisema kuwa kuna watu wanasema Mbowe amechoka, katika kulijibu hilo, akasema kuwa yeye bado ana nguvu, ana uwezo wa kufanya mikutano hadi 8 kwa siku, na kwamba, hao wanaosema amechoka, wamwambie ni nani anaweza kufanya hivyo...
  14. econonist

    Kwanini Mbowe anatetea sana maridhiano wakati alisema tumedanganywa?

    Katika hotuba yake ya Jana, Mwenyekiti wa CHADEMA alitumia muda kutetea maridhiano na kuonesha ya kwamba Kuna mafanikio tumepata baada ya kufanya maridhiano. Kwa mfano anadai tumeweza kujenga jengo la makao makuu baada ya kupokea Ruzuku, pia amedai kuwa tumeruhysiwa kufanya siasa na kufutiwa...
  15. K

    Mbowe Miaka Mitano ni Kipi Atakifanya Kilichoshindikana Kufanywa Miaka 20?

    Mbowe kaahidi ataachia uongozi baada ya miaka mitano ifuatayo endapo atachaguliwa. Inafahamika ahadi ya kuachia uongozi alisha ifanya huko siku za nyuma; lakini kadri miaka ilivyo songa, matokeo ya uongozi wake yanazidi kufifia na kuonyesha dalili za kuwa anaifanyia kazi CCM zaidi kuliko kazi ya...
  16. R

    PreGE2025 Mbowe umechoka katika fikra zaidi kuliko mwili

    Hellow Tanganyika!! Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako. 1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt Mbowe kuchoka, Ndugu Mbowe umeshasahau kuwa Mwaka 2014 chama chako kimekuwa mstari wa mbele kudai...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    PreGE2025 Kilichomsukuma Mbowe kugombea ni kumkomoa Tundu Lissu?

    Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake. Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari? Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  19. M

    Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

    Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface · 1h Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣 Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
  20. S

    Lissu akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kumjibu Mbowe, TBC wataurusha live?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari. Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha...
Back
Top Bottom