mbowe

  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
  2. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wenje usipotuambia COVID-19 na Abdul wamemchangia Mbowe kiasi ngani kati ya hizo 250m. Tutaamini uongo wa Lissu akikujibu.

    Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siyo siri tena, CCM wanamsifia Mbowe hadharani. Urafiki huu wa Mbowe na CCM unatokana na nini?

    Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa. Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema unatokana na nini? Ni kweli kwamba Mbowe ni mwenzao?
  5. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishindwa Uenyekiti wa CHADEMA, karibu CCM kwa Maendeleo ya Taifa

    Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  6. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa kwa Sanga ni moja ya maridhiano aliyosema Mbowe, hata kama hatumpendi lakini apewe heshima yake

    Katika moja ya mambo ya maridhiano baina ya Chadema na Mhe.Rais ilikuwa inahusu wafungwa wa kisiasa, Chadema waliomba mchakato wa kisheria uweze kufanyika ili watu wao waliokuwa magerezani waachiwe. Mbowe aliliongea suala hili akipinga wale waliokuwa wanadai kuwa maridhiano hayakuwa na tija...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema ataweka ukomo wa uongoz. Mbowe anasema hawezi kuachia chama kwenye minyukano. Je, twende na nani?

    Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi Chadema ili kutoa fursa kwa vijana kuchukuwa nafasi ya uongozi. Mbowe yeye slisema hawezi kuachia chama...
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Bora ulivyosema Free man mbowe mitano Tena! Ungesema Saa100 mitano Tena , wangekuua kabisa!

    Picha inajieleza! Sitaki maswali mengi,ninajiandaa kumaliza mwaka 2024.
  10. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Ujinga na umasikini wa wajumbe ndio unaomfanya Mbowe aendeleee kuwa mwenyekiti wa chadema milele.

    jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ukisoma waraka wa Chacha Wangwe (rip), Mbowe alighushi majina ya viti maalum uchaguzi wa 2005. Huu ni ushahidi kuwa kwenye COVID-19 kuna mkono wake

    Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa". Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo: UTEUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM ...."Naamini ukweli wa suala hili hauna mjadala. Kwamba Mhe. MBOWE na wafuasi wake...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuna baadhi ya wana Ukawa mpaka leo hawazungumzi naye. Aliwauza Dr. Slaa

    Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo. Inasemekana yeye ndo alitoa siri kwa akinq Jan Makamba akapokea Bil 5. Ili asaliti mapambano.akatoa siri ya wapi hicho kituo...
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo hoja zitakazotumika kuizika CHADEMA endapo Mbowe akiibuka mshindi wa kiti cha uenyekiti Taifa, Ongezea nyingine

    Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini? Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wajumbe hawatakubali CHADEMA iwe CCM B kwa kumchagua Mbowe. CCM wanamuunga Mkono Mbowe hadharani alafu Wajumbe nao wamchague Mbowe labda wawe Nyumbu

    Kwema Wakuu! Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama. Kila siku lazima atoke mwanachama wa CHADEMA aliyekuwa na wadhifa kumuunga Mkono Lisu. Jambo hilo linazidi kuwakatisha tamaa Team...
  16. S

    JamiiForums Tanzania MBOWE ALIONGEA JAMBO ZITO KUHUSU VIJANA

    Wakati Mhe. Mbowe anatia nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chadema alitamka jambo zito sana linalowahusu vijana wa sasa.Naungana na Mhe. Mbowe katika jambo hili kwa sababu ni kweli kabisa vijana hawa na hasa wa kizazi hiki wamekuwa na mawazo vichwani mwao kuwaona wazee hawana akili. Vijana...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwa aliyopitia na aliyofanya, naumizwa na kejeli dhidi yake LAKINI ni Muhimu sana atumie Hekima

    Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania. Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

    Tumesikia toka kwa wanachama wa CHADEMA kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo. Tunauliza, Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha? Kama hana leseni, tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika. Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena: Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa. Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!" Pia soma...
  20. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
Back
Top Bottom