mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wanaichambua hotuba ya Mbowe na hawaigusi kabisa ile ya Zitto kuhusu CAG?

    Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu. Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL. Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

    Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele. Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe wa mwaka 2021 amkana Mbowe wa mwaka 2020 kuhusu lockdown

    Ndugu zangu, Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo. Teknolojia hatari sana
  5. JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
  6. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa". Kauli yake imekuja...
  7. JamiiForums Tanzania Katika suala la Mbowe, TRA mmeanikwa 'ukwarukwaru' wenu

    Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi. Sasa mmeanikwa. Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa ukusanyaji kodi". Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi. Ni kwa sheria...
  8. JamiiForums Tanzania Kila mtu alitishwa na mwendazake, Mbowe usijifanye hujui hili

    Mwendazake alinyenyekea-nyenyekea kipindi cha uteuzi pale na kampeni baada ya kukalia kiti hamkuheshimu mtu, hadi wanaCCM nao wakapigwa na butwaa wakajiuliza eh huyu ndio yule yule, Viongozi wakuu waastaafu wa nchi hawakuheshimiwa, Viongozi wenzake wa serikali, bunge na mahakama nao walibaki...
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari. My Take: Natengua msamaha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

    Nakubaliana kabisa na Spika Ndugai kwamba hoja nyingine za uchaguzi ni ndogo ndogo lakini zinakuxwa tu. Mfano Chadema wamepata hati safi lakini kuna zaidi ya tsh milioni 300 CAG amedai zimetumika bila kufuata utaratibu. Maana yake ni kwamba fedha hizo hazijaibwa ila taratibu tu za kuhalalisha...
  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo Spika wa Bunge...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa malalamiko yake binafsi, ukweli mchungu aliouongea Mbowe jana ni "tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua"

    Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua. Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni. Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

    Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
  16. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

    Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili. Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking. Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli. Nadhani siku...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

    Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media zote nchini. Natamani kosa kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii.
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe akubaliana na Nyani Ngabu?

    Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…