mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

    Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
  2. JamiiForums Tanzania CCM Mbona Mnafeli? Majibu ya NO REFORMS NO ELECTION Yanapaswa Kutolewa na NEC au Serikali na Sio CCM Maana Nanyi Ni Washindani!

    Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji. Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  4. JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

    Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo.. hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo.. Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili.. Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela.. Badilikeni..
  6. JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

    Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera. Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
  7. JamiiForums Tanzania Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
  8. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya ligi na TFF wanajielewa kweli? Mbona kama wanavyotoa ufafanuzi ndio wanakosea zaidi,au hawajisikilizi wanachosema!

    Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania TIGANA LUKINJA WA TVE: Mbona kama "mfumo" unamuweka mbali huyu genius wa soccer?? Anaweza akaipeleka Tanzania mbali kidogo..

    Huyu jamaa yupo poa sana, na kama ana changamoto basi ni za kibinadamu tu, ninahisi anaweza akalisogeza mbele kidogo soccer la Tanzania..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hiki kitengo chenu cha mapato na leseni mbona hivi????

    Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Utafiti Sera na Mipango mbona imesahaulika CDM

    Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli idara hii ni muhimu ikawepo kwa vile kuelekea kushika dola suala la utafiti, sera na teknolojia za...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kujenga mbona kama hakuna maana? - unajenga bangaloo lakini unazikwa kwenye kichumba cha mita 1*2.5

    Eti wakuu? Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali. Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
  14. JamiiForums Tanzania ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
  15. JamiiForums Tanzania Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi Au labda Babda Barca vs Madrid Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling Hii...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  19. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?

    Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?? Mwili ndio mwili Yaan unaisha
  20. JamiiForums Tanzania Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…