mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hili gari namba A mbona kama ni model mpya?

    Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
  2. JamiiForums Tanzania Watu wa DSM mbona mko kimya majanga ya mvua ya Tarehe 28-29 May 2025

    Msikae kimya semeni matokeo ya hio mvua madaraja na majanga mengine
  3. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  4. JamiiForums Tanzania Sayari ya Pluto imepotea? Mbona si sikii

    Ndg Zang Hata watoto sik hiz hawaambiwi hii sayari imeemda wapi. Miulize mtoto kama.wanaandikiwa hii sayari. Je imeenda wapi
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA baada ya uchaguzi walimtenga Kibatala? Hapa wamekosea

    Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama. Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA Kibatala...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  8. JamiiForums Tanzania Mbona tamthilia ya dunia haijadiliwi humu ndani

    Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo.. Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
  9. JamiiForums Tanzania Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

    Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika wanyama walitukoseaga kitu gani, mbona inakuwa ngumu kuishi nao ?

    Kama mtu akifa anarudi duniani kama mnyama, Afrika inipite kushoto kabisa
  13. JamiiForums Tanzania Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
  14. JamiiForums Tanzania Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
  15. JamiiForums Tanzania Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  16. 3

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hizi iphone 17 zitakazo toka mbona kama siwaelewi

    Iphone 17 itatambulishwa tarehe September 12, 2025. Naona kampuni imejiweka sana na kamera kuliko lolote.
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  20. JamiiForums Tanzania Why we sleep? Na mbona ukikurupushwa unakuwa na wenge?

    Huwa najiuliza sana why we sleep? Tukilala Huwa tunakwenda wapi? Tunapolala fofofo ndiyo Huwa tunafanya majaribio ya kufariki? Je je mbona ukimshtua ghafla mtu aliyetoka kulala usingizi mzito ukamuuliza kitu Huwa ni kama hana kumbukumbu zozote ? Naitaji kujua why we sleep?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…