mbolea

Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  2. A

    JamiiForums Ijue afya ya udongo ili utumie mbolea kwa usahihi

    1. Afya ya udongo ni nini? Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea 2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
  3. K

    JamiiForums Dunia inaenda kasi sana, sasa hivi kila mtu anakamata mnyonge wake

    Habari za mchana bin-adam wenzangu, Nimekaa jana baada ya kutoka kuganga njaa mjini niakawa nimejipumzisha nyumbani na kasimu kangu ka TECHNO nikisikiliza habari za dunia kupitia radio sauti ya UJERUMANI Pamoja na kwamba akili yangu imechoka mpaka imechakaa na kubaki na akili yakukatia...
  4. J

    JamiiForums Rais Putin aihakikishia Afrika kuilinda kwa Chakula na Mbolea. Asema Russia na Afrika ni marafiki wa Kufa na Kupona!

    Rais Sall wa Senegal ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Leo amekutana na Rais Putin nchini Urusi. Rais Putin amesema Afrika ni rafiki wa kweli wa Russia hivyo wasiwe na hofu wataendelea kupata nafaka na mbolea kutoka Russia Leo ni siku ya 100 tokea vita ya Russia na Ukraine ianze Source...
  5. L

    JamiiForums Putin asema nchi za Magharibi zikiondoa vikwazo Urusi itauza nje chakula na mbolea

    Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa. Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
  6. JamiiForums Bei ya mbolea: Waziri Bashe amepotosha Bunge na kushangiliwa kwa kelele tu

    Nimetembelea ukurasa wa World Bank ambako Bashe alichota bei na kuzilinganisha na mwaka huu, 2022. Kwa maoni yangu, Waziri huyu hafai au an ufahamu mdogo. Lakini pia naona bunge likishangilia kila mtu anayetumia kelele kujidai kutetea wananchi. Hapa Bashe alitumia kelele kutetea wakulima...
  7. JamiiForums Kama bei elekezi za mbolea zilipangwa ziko wapi?

    Nimesoma hili Tangazo la TFRA la bei elekezi za mbolea lakini nimeshindwa kuziona. Hizo bei zinapatikana wapi. TAARIFA KWA UMMA: BEI ELEKEZI ZA MBOLEA (DAP, UREA, CAN NA SA) 01st Apr, 2022 1.Utangulizi Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Regulatory Aurhority - TFRA)...
  8. JamiiForums Hivi kama nchi tumeshindwa kabisa kutengeneza mbolea?

    Katika utengenezaji wa mbolea kitu kigumu kupata ni Phosphate. Hii haiwezi tengenezwa kama material zingine za mbolea, Nitrates nk. Phosphate huchimbwa. Duniani nchi inayoongoza kwa kuwa na phosphate nyingi ni Morocco. 75% ya phophate yote duniani ipo Moroco. Tani bilioni 50. Mazao yanapokua...
  9. JamiiForums Waziri Bashe amkosoa Mpina, amtaka alete kampuni inayouza mbolea kwa bei rahisi

    Dodoma. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemcharukia Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambapo amesema ni hatari kwa mbunge wa muda mrefu kuupotosha umma. Mpina wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 bungeni leo...
  10. JamiiForums Mtutura: Bei ya Mbolea ni Hatari kwa Kilimo na Uhakika wa Chakula; Serikali Isipuuze

    Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia 38 na kuadimika katika mzunguko sokoni, ilipofika Disemba hali ilikuwa mbaya zaidi licha ya kuwa...
  11. JamiiForums Waziri Bashe aahidi suluhu ya kudumu ya upandaji holela wa bei za mbolea

    Ameandika Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe katika ukurasa wake wa Twitter. Nina Faham maumivu ya bei ya mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi basi na mimi binafsi ninajua kama mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira, msimu ujao wa kilimo...
  12. JamiiForums Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  13. JamiiForums Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  14. J

    JamiiForums Waziri Bashe akutana na wawekezaji wa kiwanda cha mbolea

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
  15. JamiiForums Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

    Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila...
  16. J

    JamiiForums Bashe: Serikali kuunga mkono sekta binafsi katika uzalishaji wa mbolea nchini

    BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kinachojengwa mkoani Dodoma. Katika ziara hiyo, Bashe amebainisha ya kuwa...
  17. JamiiForums Hali yazidi kuwa tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia Tsh. 140,000

    Habari za kazi Wana JF/wadau/wananchi? Huku kwetu DAP ni laki na elfu arobaini.140,000/=hivi kwa Bei hii kilimo kitafanyika mwaka huu? Hebu tupaze sauti, tuwasaidie wakulima hali ni Tete msimu huu.
  18. JamiiForums Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

    Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP) Na Elia Wilinasi Sikanyika Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo, Natumai ni mzima wa afya njema. Mheshimiwa waziri wa Kilimo, Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama...
  19. JamiiForums Hali tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia 120,000

    Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini. Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini. Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili...
  20. J

    JamiiForums Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…