mbolea

Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.

View More On Wikipedia.org
  1. Syolosu

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata Mbolea za Yara

    Natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu bila kusahau harakati za kampeni za uchaguzi. Kuna maswali najiuliza juu ya huu mchakato wa ugawaji wa mbolea za yara. Utaratibu unakutaka Kuomba kupitia kujisajili kwa kutumia menyu unayoipata kwa kupiga *149*46*16# kwanye mitandao ya simu. Utaratibu...
  2. No Escape2

    JamiiForums Tanzania Mradi: Mbolea ya kinyesi cha Binaadamu

    Wakuu nisiwachoshe sana, Naomba mwongozo kwa anaeweza kunisaidia kuanzisha kiwanda cha uzalishaji mbolea hii adimu kuhusu malighafi ipo ya kutosha! Mnisaidie pa kuanzia ili niweze kuandaa mashine, mtaji na jambo lolote ambalo mnahisi litanisaidia kunzisha mradi huu na pia Alie tayari kuungana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mbolea ya asili

    Habari wadau, Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia? Je, nitumie kiasi gani kwa ekari?
  4. Removers

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wenye Majina ya asili

    Habarini za asubuhi wakuu. Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo.. Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

    Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
Back
Top Bottom