mboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  2. I

    Watanzania tupo nyuma sana kwenye kilimo cha mboga kwa mfumo wa Hydoponic tower garden

    Ukilinganisha na wenzetu wa Kenya, watanzania wengi tuko bize na kilimo cha kawaida (traditional farming), tukidhani ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa kipato. Ukiangalia mitandaoni kwenye suala la kilimo biashara kwa ujumla wakenya wanatupiga gap kubwa sana na wao wanawekeza sana kwenye technology...
  3. Massenge1

    Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  4. U

    Kwanini ukiiba Kitoweo jikoni ni rahisi kugundulika kuliko ukiiba mboga za majani au maharage?

    Tafakari ya kina
  5. Abraham Lincolnn

    Umeunguza mboga badala ya kuzima moto unapuliza perfume kuzuia harufu isisambae

    Kwa sisi wakatoliki, Unapoenda kutubu dhambi, Jambo Moja la msingi, Lazima ukiri na utamke kwa kinywa chako kwamba aidha ulizini, Uliiba, Ulisema uongo nk. Kabla ya kwenda kukiri lazima uwe umejutia na udhamirie kuziacha, na kama kutakuwa na malipizi itakupasa kukamilisha kwa ajili ya ondoleo...
  6. D

    Natafuta mboga za majani zilizokaushwa. Anaefanya hii biashara tuwasiliane

    Natafuta mtu anaeuza mboga za majani zilizokaushwa. Kama unafanya au unamjua mtu anaefanya hii biashara naomba tuwaskiliane.
  7. Jesusie

    DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  8. Chibike

    Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  9. donlucchese

    Unanunuaje mboga za majani....!!!???

    Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
  10. G

    Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  11. Uhuru24

    Nina tabia ambayo inanitesa sana ya kula mboga nyingi

    Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto. Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo. Hali inayonifanya hata...
  12. Mzee wa Hekaheka

    Ilibaki kidogo niunguze mboga

  13. CHASHA FARMING

    Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi. Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super...
  14. The introvert

    Viungo vya kupika mboga ye mvuto na ladha nzuri

    Wapishi na wapenda mapishi, naomba msaada wenu! Ni viungo gani mbalimbali vinavyotumika katika kupika mboga ili kuzifanya ziwe na ladha nzuri? Maana ni mwezi sasa tangu nitoke home naona mapishi nayopika hasa ya mboga hayana radha kama ya nyumbani. Pia ningependa kujua bei za viungo hivyo kwa...
  15. Mshana Jr

    Mboga unayoweza kula na chakula chochote

    Kama unapenda ubunifu wa mapishi mbalimbali ya mboga basi pitia huu uzi Unajua ufundi na ladha viko kwenye mboga na sio ugali au ubwamba?
  16. Right Marker

    Taja majina ya mboga za majani ulizotumia, au unazotumia mpaka sasa

    Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema. Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia, hali ya maisha uliyonayo sasa, kuchangamana na watu wa jamii nyingine, au kwasababu nyingine yoyote...
  17. kyagata

    Kwa hapa Dar wapi naweza kupata hii mboga inayoitwa mgagani?

    Wakuu Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani? Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
  18. B

    Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  19. Mi mi

    Mboga saba kutoka kwa Mr Blue

    Mboga saba. Verse 1 – Mr Blue Mboga saba umeniteka, makahaba nawacheka Kwenye mkataba nakuweka, kwenye mahaba nakuweka Napiga ibada usije lala kwenye mkeka Aah kama vumba likikataa Aah ndumba halitovaa Bila nyumba chumba kimoja utakaa? Nguo za mitumba nauliza mchumba utavaa? (Yeah) Yeah...
  20. Morning_star

    Wenye chakula chao, nitajie majina ya mboga saba za kiasili unazozifahamu na kuziona hapo! 10k mfuko wa shati!

Back
Top Bottom