mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Hawa matapeli huwa mbinu zao ni zilezile?

    Meseji hii kanitumia INBOX: Hello darling. How're you doing?, my love i must tell you, I'm no longer happy here . My life has been miserable here for the last 3 years. I am a beautiful woman but I am not married and every day I get older. Please, my love, I want you to help me finish my...
  2. Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  3. Maandamano siku ya Krismas ni mbinu ya watawala kuyaondolea nguvu na hatimaye kuyazika 🇹🇿

    Binafsi naamini huu ni mkakati wa kudhoofisha sauti za wengi: 
Kupanga maandamano siku ambayo ni sikukuu muhimu zaidi ya kidini ni mbinu ya kulipasua kundi la wanaodai mabadiliko, kuwapunguzia nguvu na hatimaye kulizika. Hii nii old trick, usipoweza kuwashinda kwa wingi wao basi watengenezee...
  4. Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

    Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha. Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia. Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
  5. PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  6. H

    Mbinu bora za Elite home tuition kumfundisha mtoto anayeanza lugha za kigeni

    Katika Elite Home Tuition, tunatumia mbinu maalum zinazomuwezesha mtoto kuanza kuielewa na kuitumia lugha ya kigeni kwa ufanisi, kwa furaha na bila hofu. Hizi ndizo mbinu zetu bora: 1. Mazoezi ya Kusikiliza (Listening First): Tunaanza na kusikiliza nyimbo, hadithi, na mazungumzo mafupi...
  7. Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

    Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025. Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake. Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari...
  8. Baada ya marufuku ya maandamano ya D9 tutarajie nini? Nani wako interested kukaidi amri hiyo? Vipi mbinu?

    Habari ya Sabato! 1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9. 2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo...
  9. R

    Bora tuwe na serikali mseto kuliko kutumia mbinu za kijima,kishamba kwenye chaguzi zetu hizi!

    Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi! Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!? We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na...
  10. S

    Mbinu za kuwatawala Watanzania kimabavu milele na milele!

    Kuna tofauti Kati ya KUWAONGOZA watu na KUWATAWALA. Alichokuwa anakifanya Farao kwa Wana wa Israeli ni KUWATAWALA. Lakini alichokuwa akikifanya Musa kwa Wana wa Israeli wale wale ni KUWAONGOZA. Kwa sababu ninyi mlichagua KUWATAWALA watanzania badala ya KUWAONGOZA basi tangu AWALI kabisa...
  11. Mbinu ya kumaliza vita ni kutoongeza wahusika(maadui)

    Hamjambo! 1. Panapokuwa na vita baina ya watu wawili njia pekee ya kutopanua vita hiyo ni kutoongeza wahusika. 2. Mbinu nyingi ni kuhakikisha vita haidumu muda mrefu. Kwa sababu vita kadiri inavyochukuaa muda mrefu ndicho hasara na mgogoro unavyopanuka na kuongeza wahusika. 3. Kupigana muda...
  12. Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha

    Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao Je wanafanyaje? Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha Wanapokuwa katika Ibada...
  13. PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

    Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba. Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya...
  14. Mbinu ya kisaikolojia iliyotumika kuwauwa ndugu zetu watanganyika kikatili kama wanyama

    Mbinu hii inaitwa " Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal" Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill siku ya tarehe 29 , nakili tumekuangusha sana tungeokoa vifo vya watu wengi kama tungesambaza...
  15. Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  16. Nitumie mbinu gani kujifunza kiingereza kwa urahisi

    Heshima kwenu Wakubwa Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa...
  17. Chama hiki kimekufa rasmi baada ya kujiingiza kwenye mbinu za kigaidi kuisaka Ikulu

    Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali. Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola. Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa...
  18. GE2025 Mbinu ya CCM yashtukiwa

    Ukitazama kwa umakini utagundua kuwa hakukuwa na sababu za msingi za kumkamata John Wegesa Heche. Sasa sababu ni nini? Wanatamani maandamano madogo ili kukwepeaha yale makubwa. Tusikubali . Jamaa kama kuna kitu wanaogopa ni maandamano ya pamoja ya Tanzania nzima ,lengo lao wapate kamaandamano...
  19. Video: Mbinu mpya na hatari ya Vibaka.

    GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
  20. Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…