mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  2. Jimbo la Igunga - Shilingi Bilioni Mbili zimetumika kujenga Madaraja ya Kata za Mtungulu na Mwamashiga yaliyokuwa kero kwa muda mrefu

    📍 Mtungulu, Igunga Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa ukiwa umesimama kwenye Daraja la Mto Mtungulu huku Wajumbe wa msafara wakicheza kwa furaha baada ya kuona ujenzi wa daraja umekamilika kwenye Mto uliokuwa ukisumbua Wananchi kuvuka kutoka upande mmoja kwenye...
  3. Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  4. Nigeria: Walimu watishia kupunguza siku za kufanyakazi, ziwe siku mbili tu

    Umoja wa Walimu wa Elimu ya Juu (COEASU) unaojumuisha vyuo 252 umetoa tamko kuwa Wanachama wake wanatarajia kuanza kufanya kazi kwa muda wa siku mbili kwa wiki kama Serikali haitapunguza gharama za maisha. Walimu hao wanataka nyongeza ya mshahara kwa asilimia 200 ili waweze kuendana na gharama...
  5. Kwanini huwa Sichoki Kusikiliza Nyimbo hizi Tamu mbili za Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana?

    1. Liberation 2. Serge Palmi Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album ya TITANIC basi una bahati mbaya na hupaswi kuwa Mdau wa Congolese Music. Na Utamu zaidi wa hizi...
  6. Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  7. K

    Kama hujapata principal pass mbili (4.0 points) pitia hapa

    Umekosa Principal pass mbili/D mbili (points 4.0) za kwenda chuo kikuu?? Bado nafasi unayo Tena... Wakubwa njoeni tuwape mpango mkakati ili kufikia malengo...
  8. Nataka Serikali moja tu ya Muungano, sitaki mbili wala tatu

    Utanganyika na uzanzibari imeanza kusikika, wenye mamlaka nao wamekaa kimya hawataki kukemea ubaguzi huu unaoendelea nchini. Tulishaungana tangu 1964, hakuna serikali ya TANGANYIKA wala ya Zanzibarinatikiwa iwepo hadi leo,tumewezaje kuungana bila serikali kuungana, Zanzibar inakuaje na...
  9. Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

    Ama kweli tembea uone! Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%. DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama hutendwa hadharani! Mfano, mgeni usafiripo kwa kupitia mpaka wa Kasumbalesa kwa roli kwenda...
  10. L

    Majukwaa zaidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika yasaidia kuongeza thamani ya biashara kati ya pande mbili

    Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
  11. Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  12. M

    Ni kweli kilo ya sementi itatozwa ushuru wa shilling mia mbili?

    Wakuu habari. Nimesikia vibaya au vipi kwamba kwenye bajeti iliyopitishwa bungeni hivi leo kwa kishindo Kila kilo ya sementi itatozwa ushuru shillingi mia mbili. Sasa kilo hamsini itauzwa shilling ngapi kama ushuru tu itakuwa elfu kumi? Duh kule bado mafuta Lita ushuru mia. Tunatoboaje?
  13. T

    SoC03 Mikataba ya kazi iwekwe kwenye lugha mbili

    Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la kiupembunzi kupitia visa mafunzo kulingana na masuala ya mikataba suala la kuandaa mikataba liwe na...
  14. Mkataba wa bandari utavunjwa kwa pande mbili kuridhia, tutawahonga kipi waarabu watukubalie kuondoka kwa hiari?

    20.3. The termination of the agreement requires prior consent from both State Parties, and such consent should not be unreasonably withheld. Hapo ni kwamba hata huko mbele tukihitaji bandari yetu basi NI LAZIMA waarabu nao wakubali kwa hiari kuiacha bandari. Mkataba hauwezi kuvunjwa...
  15. Serikali Kupeleka Magari Mawili ya Wagonjwa Kila Wilaya Nchini Ifikapo Agosti Mwaka huu 2023

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu. Akizungumza na mamia ya...
  16. Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

    Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana. Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
  17. Ni ujinga mkubwa kudhani kwamba kukamia tendo ndio kumkomoa binti mpiga vizinga

    Huwa nashangaaga sana mtu kapigwa vizinga ama kazungushwa sana halafu siku ya siku dem kaamua au kabananishwa kutoa mzigo, Mtu anajisifia nimekamua sana nimemkomoa, hivi upo serious kabisa mwanamke alieanza mapenzi tangu kavunja ungo umekutana nae akiwa kwenye 20's unaweza kumkomoa kwa game ...
  18. Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

    Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
  19. Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  20. Dhana Tata "Forbidden knowledge na Forbidden Archeology"

    "Forbidden knowledge"ni maarifa au habari ambazo haziruhusiwi kufikiwa au kutumiwa na watu fulani au kundi la watu kwa sababu za kisiasa, dini, kimaadili au kulinda siri za kibiashara. Habari hizi zinaweza kuwa hatari kwa wale wanaozitumia kwa sababu zinaweza kusababisha madhara au kuhatarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…