Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,232
22,314
Wakuu namshukuru Mungu kwa hii pumzi na kwa riziki zake. Mimi ndugu yenu siku za hivi karibuni nimeona ni muda muafaka wa kuanzisha chanzo kingine cha mapato ila bado sijafanya maamuzi kamili. Nimekuwa nikiwaza sana nifanye biashara gani tofauti na ninayofanya kwa sasa ndo nikapata mawazo mawili kulingana na mtaji nilio nao.

Wazo la kwanza ninataka nifungue sehemu ya kuuza fabrics (materials za kushonea). Na pia niweke cherehani kama 3 za mafundi hapo nitakapokuwa nauzia fabrics. Wazo la pili ni kufungua duka la kuuza pombe na vinywaji vingine (LIQUOR STORE). Hizi biashara zote mbili kwa tathmini yangu binafsi ninaona yoyote nitakayochagua kuanza nayo nitaimudu. Mji niliopo ni mkubwa na ni halmashauri ya manispaa.

Karibuni tushauriane. Yawezekana huu uzi ukasaidia mtu mwingine pia.
 
Liquor store nzuri, kama mtaji upo wa kutosha anza na vinywaji pendwa vya bei zote(high&low). Delivery ni muhimu kama utauza jumla na rejareja.
Kama mtaji n mdogo au wakawaida nakushauri uanze na vinywaji vya bei ndogo vinavyouzika haraka huku ukiendelea kuongeza vinywaji vya gharama kadri unavyotengeneza faida.

Kila la heri.
 
Asante sana mkuu.
 
Mtaji mkubwa ni kuanzia shilingi ngapi mkuu?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
kwa experience yangu n kuanzia 10+, chini ya hapo ni vyema kuwa na stock kubwa ya vinywaji vya bei ndogo na pendwa vyenye mzunguko wa haraka. Mfano wine zina bei na ni vizuri uwe nazo za aina nyingi, ni gharama. (haya nimeongezea tu nje ya ulichouliza).
 
Wazo namba mbili ni zuri zaidi na Kama ukipata location iliyotulia +decoration ya store+ watoto wazuri (wahudumu) + mtaji angalau wa 10m+ wakuweza kupurchase vinywaji vya high na low class, yaani atakae taka jack daniels apate na atakae taka double Kick apate

NB: ma slay queen na zile pisi za maana kwenye eneo lako jitahidi wawe rafiki zako na Kama wewe ni ME usitafune hata mmoja hao ndo watakuletea mabazazi
Bila kusahau kuwa na music system yakueleweka

Kila la kheri
 
Sijawahi kuona Dada Jane halafu akawa boya. Jane wote mna akili hatari. Nakushukuru sana. Kwa mfano nikianza hiyo biashara mhudumu awe wa kiume au wa kike?
 
Ungemalizia kabisa wakija Jane wote peponi

Hapo lazima ziwe pisi mbili matata sana halafu zisiwe za kwenye eneo Hilo ka tafute kwingine kabisa,wa train wawe expensive wao Kama wao kuanzia pamba, kusuka sijui swaga zile zooote wawe nazo wasisahau kuwa charming kwa wateja wasiwe visirani na usichukue low brain

Chukua wale ambao mteja akija apate more than pombe sijui umeelewa ?? Elewa more than pombe
Mfano hapo 'mteja anakuja na swaga za mpira umo,swaga za siasa umo,swaga sijui za ma celebs umo,swaga za kiswahili umo"

Mara nyingi wale wateja wako potential huwa financially vzr na wanapokuja sehemu Kama hizo wanatafuta relief yakuishi sijui umeelewa?

Haya Kila la kheri na wewe Kama KE HAKIKISHA unakuwa alwatan kwenye eneo lako hapo kivyovyote vile itakuwa more than liquor store
 
Liquor store nzuri, kama mtaji upo wa kutosha anza na vinywaji pendwa vya bei zote(high&low). Delivery ni muhimu kama utauza jumla na rejareja.
Kama mtaji n mdogo au wakawaida nakushauri uanze na vinywaji vya bei ndogo vinavyouzika haraka huku ukiendelea kuongeza vinywaji vya gharama kadri unavyotengeneza faida.

Kila la heri.

Muuza pombe maarufu
Hivi lini utanipa kibarua kwenye store yako?
 
Back
Top Bottom