mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

    Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
  2. Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
  3. K

    Mbezi mwisho-Bunju via Mbezi High School, lami inabaki kuwa kimini

    Nimeshangaa sana hii barabara kukosa tena kwenye bajeti ya mwaka ujao. Sasa lami itakuwa ikiyatoa mabasi stand yakapita mbezi high school kidogo lami inaishia hapo. Kwa kweli ni maajabu sana. Hivi kwa ubusy wa ile barabara kweli unaweza kuiacha kwa miaka kumi yote??! Kwa kweli nimeshangaa na...
  4. B

    Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

    JF, Kwa kweli nimekuwa nikipata shida sana kuona mbuzi Hawa wanazagaa barabarani hovyo wakati Sheria za kutunza wanyama zipo wazi. Je wale ni wa Serikali au? Kwasababu najua kabisa wangekuwa wa mtu binafsi wangeshakamatwa zamani na kutozwa faini. Nani au Mamlaka gani ya Serikali inawajibika...
  5. M

    Mamlaka husika hilo Jengo lililobomolewa mwaka 2014 hapo Makonde jirani na Shekinah Garden linaachwa ili lipendezeshe Jiji na Mbezi Beach au?

    Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia. Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi...
  6. Plot4Sale Viwanja safi kabisa- (Mbezi - Msumi mwisho) Milioni10 tu!

    Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo( Desturi yetu watanzania lazima tuongee na tuelewane.) Kwa wenye kuhitaji mawasiliano - Direct...
  7. Plot4Sale Plots zinauzwa Mbezi (1.5KM) Kutoka Standing ya Magufuli @45'000/ per sqm

    Plots nzuri kabisa Mbezi mwisho (1.5Km ) Kutoka KITUO kikuuu Cha mabasi Cha Magufuli (Magufuli bus Stand). Karibu tujenge taifa pamoja. Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI.
  8. Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  9. Phone4Sale Iphone 6s gb 128, iko Mbezi

    Iphone 6s storage gb 128 battery health 100% Support 4G LTE ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara bei, 320,000 mbezi kimara, Dar. 0713096076 DEADLINE: 5.3.2022 USIPIGE SIMU KUULIZIA BAADA YA HIO TAREHE
  10. Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mikocheni kupitia Shoppers Plaza hadi Mbezi

    Jamani madreva mnaopita njia hiyo, nahisi huyu mkandarasi anatengeza hiyo Barabara hawazi sawa sawa muwe makini. Kachimba mashimo kila mahali, leo ni siku karibu ya tano napita hapo, yako vilevile. Sasa naomba muwe makini maana, mnaweza mkafanya ajari, najua lengo lake ni kuifanyia Barabara...
  11. Usiombe kukutana na Nsia Swai

    Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant. Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
  12. R

    Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  13. K

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

    Wakuu Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti lager kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna. Wahusika jitafakarini.
  14. Wanafunzi wa UDSM mliopata 'Sapu' acheni kutupigia 'Kelele' zenu muwapo katika 'Dala Dala' za Ubungo SIMU 2000, Mbezi Kimara na za Makumbusho

    Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu. Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
  15. Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  16. Mbezi iwe lango la jiji

    Kutokana na ukweli kwamba stendi ya kimataifa imehamia mbezi na kwamba ndio njia pekee ya kuingia jijijini kwa mikoa yote ya nyanda za juu,kanda ya ziwa na kanda ya kati. Basi kuna kila sababu kuifanya mbezi iwe nzuri na ya kipekee. Nchi zote za kusini mwa Afrika zinaingia jijini kupitia njia...
  17. House4Rent Fremu kubwa sana inapangishwa Mbezi

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center, bakery na nyingine nyingi. ukipenda fremu bei ni laki tano kwa mwezi ina Sqm...
  18. Car4Sale Mitsubish Pajero Mini, cc 660. Available at Mbezi Dar es Salaam

    karibuni sana, gari haina changamoto yoyote. Some Details Engine Volume: Cc 660 Automatic... Piston 4.. tairi kama mpya Location: Mbezi misugusugu, Dsm Availability: all time call: 0625750755
  19. Goba - Mbezi kuwa zaidi ya Sinza, Tabata

    Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu...
  20. B

    Kiwanda cha kusaga na kukoboa Mahidi kilichopo Mbezi Louis DSM kinakodishwa

    Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…