mbeya

  1. S

    Wananchi Mbeya wamruka Dkt. Tulia 'hatujamtuma bungeni kutetea wezi na walanguzi'

    Baadhi ya wananchi wa Mbeya Mjini wamesema hawajamtuma bungeni Mbunge wao Dk. Tulia Ackon kutetea wezi na walanguzi wa kuwakamua wananchi kupitia biashara ya mafuta. Hii ni baada ya wachangia kuwashambulia wananchi wa Mbeya kwamba ndiyo wamesababisha tatizo hili kwa kuwa maamuzi ya Spika Tulia...
  2. Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

    Habari Wakuu, Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car. Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao... Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake.. Ahsanteni Sana
  3. Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  4. Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
  5. Mbeya: Wanachama 7 wa CHADEMA walioswekwa Rumande waachiwa huru

    Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda...
  6. Askofu Ammeus Bandekile Mwamakula dhidi ya Kashfa ya Sensa Mbeya

    KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI. Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM...
  7. Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

    Hatutaongeza neno ili kuepusha migongano , Jisomee mwenyewe Majina yenyewe ni haya hapa
  8. Sisi tuna watu, walifungiwa miaka mitano kocha wa Mbeya kwanza na sasa kasemehewa sembuse Manara?

    Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF? 1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu 2: Mwakalebela miaka 5 3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free Manara je ???
  9. TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
  10. Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

    Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea. Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na...
  11. M

    Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

    Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde. Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi. Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe? Na Ulaya je wasemeje? Tupeni sababu za kisayansi.
  12. Yanayoendelea Jijini Mbeya uzinduzi wa Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini ya Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki

    Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T. Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha...
  13. Mbeya Jiji rekebisheni barabara yenu Kabwe-Mwanjelwa kupitia Airport

    Habari wanajukwaa, Nilifika Mbeya jana jioni hivyo nikatafuta Lodge karibu na stand ya nanenane nikalala. Asubuhi nikapanda daladala kuelekea mjini kufata kitu kilichonileta. Nilichoshangaa baada ya kufika Kabwe daladala ikaingia kushoto kupita njia ya Airport kwenda kutokea Mwanjelwa, huko...
  14. Mashindano ya draft Mbeya kutoa muwakilishi

    Mfumo wetu wa ligi utakuwa kama ifuatavyo 1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano 2. Kila kundi litatoa wachezaji wa wili jumla watakuwa 8 wataenda moja kwa moja kwenye robo 3. Aina ya michezo itakayo chezwa kwenye...
  15. Nokia G21 inauzwa ipo Mbeya GB 128, Ram 4 TSH 300,000/=

    Simu imetumika wiki Tatu Tu. Simu ni mpya na upya wake. Simu ipo kama unavyoiona kwenye picha hapo Chini. Your all welcome...........,........,.
  16. Battle: Kati ya Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga na Iringa

    Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!! Mada husika👇🏾 Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza) Swali!👇🏾 Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi...
  17. Changamoto za wanawake wanaoweka 'bleach' kichwani

    Nilikutana na mademu kama watatu ivi wenye breach kichwani nyakati tofauti tofauti na kufanikiwa kupata utamu wa asili kiraisi mno bila ata kutumia nguvu lakin sasa kimbembe hawa mademu ni shida Ving'ang'anizi adi walikuwq wananifanya nihame mitaa na kuwa chukia tena. Mwanamke wa kwanza Uyu...
  18. Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

    Gereza la kilimo la songwe lililoko mjini Mbeya litahamishwa ili kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium yaliyopo eneo hilo. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana na mwakilishi wa kampuni ya panda hill, inayotarajia kuchimba madini hayo Bw. Emmanuel Kisasi. Kisasi alisema kwamba watahamisha...
  19. Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  20. P

    FT: Mbeya City 1-1 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium

    Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…