mbeya

  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

    Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa. HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE. Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
  2. mr pipa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

    Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli. Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Sugu aendelea kusafisha Mabaki ya CCM Mbeya Mjini, Leo ni zamu ya Kata ya Isyesye

    Hii ndio Taarifa ya leo kutoka Mbeya, ni Dhahiri kwamba Mbeya hakuna CCM, lakini kuna yale Mabaki au Masalia ya Magugu Maji, ndio yanamalizikia kusafishwa Hii ni Kata ya Isyesye, ambako Masomo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa yanaendelea kutolewa, huku Wananchi wakielewa kwa kiwango cha...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mabasi mawili yagongana Mbeya uso kwa uso leo October 7

    Afande Awadhi Hajji ( Mkuu wa Operesheni na Mafunzo)alikuwa anasema jana amefika Mbeya kutazama kama matayarisho ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yanaendeles vizuri na pia kutazama suala la usalama barabarani lakini ajali imetokea kule leo. Mabasi mawili, moja likiwa mali ya Kampuni ya Kapricon...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu juu ya safari ya train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaam

    Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada please.
  6. M2flan

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubish Outlander For Sale, ipo Mbeya

    Mitsubish Outlander INAUZWA, Location Mbeya mjini Year: 2011, CcC 1990 Color: Dark Blue,7 seats,Good condition Full Documents .Bei Tsh 16.8M (maongezi yapo) Mawasiliano📞0747518207
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nauza maharage ya Mbeya kilo 350. 3000 kwa kilo 1

    Wateja karibuni bei ya shamba hiyo. DM for business. Location Dar na Katumba
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni

    Mhadhara - 38: Baada ya kumaliza matembezi yangu kwa takribani wiki mbili kule jijini Mbeya. Leo nimefika Dar es salaam hivyo naomba niwashauri wafanyabiashara (wawekezaji) wakubwa wa kule Mbeya. Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni;- Mfanyabiashara wa Mbeya anafanya uwekezaji wa zaidi ya shilingi...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mbeya si kwa mchezomchezo, wasanii mkienda kupiga show jiepusheni na siasa za uchawa

    Kikwete alipopolewa akiwa ziarani akitokea Chunya. Kuna safari alizuiwa barabarani Uyole. Magufuli alizomewa uwanja wa Sokoine hadi akashindwa kuhitubia. Kwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na ukitaka usipigwe, jiepushe na uchawa, hapo utakuwa salama. Mbeya Samia haikubaliki wala Tulia Ackson
  11. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

    Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wasanii punguzeni uchawa na kiherehere, ya Zuchu huko Mbeya yatawakuta sana

    Jana Zuchi alirushiwa chupa na mawe jukwaani baada ya kusifia kizimkazi na kusema mitano tena Wasanii jifunze ulienda jukwaani Simba achana na siasa Kila mtu ana hisia tofauti kwenye siasa, ntakuja mpigwe na raia bure Wasanii tafuteni washauri PIA SOMA - Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa...
  14. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Serikali ione hii huko Wilayani Rungwe mkoani Mbeya

    Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
  15. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

    https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09 Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

    Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

    Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia. Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha. Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani. Kwanza mji...
  19. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Mbeya tunauhitaji wa uwanja wa kisasa

    Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu kwa mkoa wetu huu wa Mbeya
  20. J

    JamiiForums Tanzania Akina Mama kushukuru kwa kugalagala chini ni Mila ya Mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Mtwara na Lindi hivyo Kaskazini msiteseke!

    Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara Mlale Unono 😀🌹
Back
Top Bottom