Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama.
Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka.
Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana.
Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya maji, kusikiliza kero za wananchi, na kutatua changamoto mbalimbali za kihuduma kwa wateja wa...
Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022
Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi.
Mbeya to Moshi
Tuwasiliane.
Sina mengi ya kusema zaidi ya kutoa pongezi Kwa kampuni yenu.Mmeleta mapinduzi makubwa
1. Kwanza gari Luxury kabla tulikuwa na kampuni zenye magari Ordinary Class tu.
2. Uhakika wa safari kufika mapema sio swala la kujadiliana Tena.Maana maintainance ya magari yenu ipo levo za juu...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi wa Mbeya kuendelea kuiamini Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
Wakuu
Kama ilivyo kawaida kipindi cha uchaguzi, zawadi za kimkakati ndizo hutawala kwa Wabunge kuelekea uchaguzi.
Leo, tarehe 11 Novemba 2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia...
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38) dereva Bodaboda mkazi wa iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili wa shule ya msingi Iwambi mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa kumchoma moto
Taarifa iliyotolewa jana...
Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto.
Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo?
==================
Mtoto Abinala Hebron Mwambigija(8), Mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Iwambi...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Mbeya University of Science and Technology (MUST) is seeking qualified candidates for various academic positions. Below are the available job postings:
Post: Assistant Lecturer – Health Informatics – 1 Post
Employer: Mbeya University of Science and Technology (MUST)
More Details
Application...
Ndugu zangu kama una rafiki au ndugu maeneo ya Itumbi Wilayani Chunya hapa kwetu Mbeya jaribu kumjulia hali mara kwa mara sababu mji umevamiwa na Kipindupindu.
Taarifa zilizopo japokuwa Mamlaka haijaweka wazi ni kuwa kuna zaidi ya Watu 10 wahofiwa kupoteza maisha kwa ugonjwa huo katika Mji wa...
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.
Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili.
Wenye mamlaka ya kukusanya taka nao ni kama hawaoni namna ambavyo Jiji limetapakaa uchafu.
Pichani ni...
Habari zenu ndugu zangu....
Anayefahamu mahali pazuri pa kupata nguo nzuri za kiume Mbeya anijulishe kwenye comments.
Simaanishi sehemu yenye bei rahisi, namaanisha sehemu unayohisi umewahi kupata nguo nzuri bila kuhangaika sana, yaweza kuwa ghali au bei che.
Tafadhali wakazi wa Mbeya nisaidieni.
Utangulizi
Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya
Habari wakuu...
Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship ya mwaka mmoja,kiasi changu cha pesa ni milioni mbili ivi.
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Sina chuki wala husuda yeyote ila Dodoma kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa ni hasara kiuchumi
Mkoa hauna mchango mkubwa kiuchumi kwa nchi yetu japo unapigiwa debe kila kukicha kwa nguvu kubwa
Serikali itafakari upya na tuwekeze kwenye mikoa yenye mchango mkubwa...
John Nchimbi Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mbeya amesema katika jiji hilo, hakuta kuwa na mwanafunzi atakayekaa chini kwa kukosa madawati baada ya miaka mitatu.
"Tunataka Mbeya iwe ya mfano kwenye Miradi ya Elimu, kwa Mapato ya ndani tuliyonayo tunakuhakikishia kuwa hakuna mtoto ambaye...
N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi
Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii.
Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi
Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani katikati ya Jiji ambao umekuwa tatizo kubwa.
Wakati huo huo tunaiomba serikali kuikamilisha mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.