mbeya

  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Mbeya aagiza kukamatwa wafugaji wote waliolisha mifugo mazao ya Mwananchi, asema mama anunuliwe chakula mwaka mzima

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao. Dkt. Homera alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Chimala, ikiwa...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa upimaji wa ardhi unatarajiwa kuwezesha uboreshaji wa jiji la Mbeya kuwa la kisasa

    Serikali ya Mkoa wa Mbeya imeanza kutekeleza Mpango Maalumu wa upimaji maeneo ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC lililopo katika jiji la Mbeya, Utengule na Nsalala yaliyopo halmashauri ya wilaya ya Mbeya Vijijini kwa ajili ya Ujenzi wa Miji ya kisasa. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila kuwalipia nauli wana Dar Es Salaam 200 kushiriki betika Mbeya Tulia Marathon

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Uitaji wa Vifaa vya saloon ya kike mbeya

    Habari Wana jf naitaji mtu au Duka wanalo uza vifaa vya saloon ya kike mbeya kwa bei nafuu kabisa, asante
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  7. hon daniel killion

    JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Wakuu kwema! Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano Mchele Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100 Rejareja 2700 tsh Maharage Jumla 3000tsh kuazia kilo 100 Rejareja ni 3400 tsh Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa) Nakuletea popote...
  9. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo. 1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha. 2) credit au loan officers - nafasi tano. 3) Teller -...
  10. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wajumbe Fake wampitisha Elias Mwanjala kuwa Mwenyekiti MREFA

    Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati Tendaji. Baadae majira ya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Dhahabu ya Tsh. Bilioni 1.81 imekamatwa ndani ya miaka minne wakati ikitoroshwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan katika Nyanja mbalimbali ikiwemo ya rasilimali watu, vifaa na majengo...
  13. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
  15. Crimea

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

    Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo, Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakusanya taka Mbeya baadhi hawatoi risiti

    Kuna baadhi ya wakusanyaji pesa za taka wamekuwa na tabia ya kutotoa risiti baada ya kupewa pesa za taka. Takribani miezi mitatu mfululizo wakusanyaji pesa wanakuja na daftari ( counter book) wanaandika majina Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa makusanyo ya pesa za ushuru wa taka Hili...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Wananchi Mkoa Mbeya, wakubaliana na Kauli Mbiu ya Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi 2025

    Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
Back
Top Bottom